Chatting ya nape huko facebook.

Vitu gani ambavyo umeviona sivyo vya msingi?tatizo CDM siku zote mna makelele na hasira

Mna jazba sana,hata mimi ningewajibu kikatili

QUOTE=Excellent;2490057]View attachment 37124Nape siku zote anakuwa na majibu mabaya,ukipinga hoja yake facebook anakuremove kwenye friends zake,Hivi mpaka lini ataweza kukibia hoja za watu?kama anashindwa kumjibu mwananchi wa kawaida je anaweza kuwajibu viongozi wa ngazi za juu?[/QUOTE]

Bado hamjamjua,kijana anatafuta kumifcha makamba lakini kumbe naye anajikuta mpayukaji tu.kwani hiyo nafasi kazi yake ni kupayuka au kutoa mwongozo NA SERA

Tatizo lake ni kukataa ushauri na kudharau watu

Kama ni ushauri tu, ana uhuru wa kukubali ushauri wako kama anaona unafaa au kuudharau kama anaona unazungumza pumba!!Huwezi kumshurutisha kuukubali ushauri wako.

Kweli wewe gret sinka, yan una point mpaka basi.

Hii style ya kuandika kama unajibu sms ya vicheche humu si mahali pake. Andika lugha inayoeleweka, usista duu uishie huko huko vichochoroni.

Vitu gani ambavyo umeviona sivyo vya msingi?tatizo CDM siku zote mna makelele na hasira
jifunze kutoka kwenye utenda kaz wa mwalimu,kwenye maendeleo na maslahi ya nchi lazima uwe mkali kama pilipili,ni bora lawama kuliko hasara mkuu. Na nyie tatizo jamaa kawazoesha kuchekacheka sana,ye jamaa hamna sehemu anakua serious kutoa hoja zenye tija anacheka 2 magamba bana,jamaa sikuamini alivyojibu kwamba hajui kwanini cc ni maskini afu anakuja anawachekea mnashangilia 2,tuelimike kama m2 hujui hata tatizo letu unaweza kweli kulitatua?

Ningekuwa Moderator ningekutaka uthibitishe na ukishindwa unakuna ban...pumbavu zako

Mkuu, achana nae huyo. Nape uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo. Nakumbuka alivyosema siku moja akiwa katika mjadala star tv alipoulizwa kuwa kwanini ccm imejaa watoto wa vigogo ie. Mtoto wa Mwinyi, Yeye mwenyewe, Mtoto wa jk, Makamba, kn. Ili kuthibitisha kuw a akili yake si nzuri alijibu hivi : " Namkumbuka baba yangu Makamba aliwahi kusema hivi Itashangaza ikiwa panya wa msikitini atakutwa anakula biblia nadani ya msikiti au Kolan ndani ya kanisa....." Bila kujua alimaanisha kuwa CCM ni chama cha Baba zao na hivyo mtu mpya kuingia CCM akapata uongozi ni sawa na panya kutafuta biblia msikitini. Anafaa kuimbisha miduara!

Juzi alimwondoa rafiki yangu Benson msemwa arafu akajirejista kwa jina lingine na akamwomba urafiki na kumkubalia! Nape hana kitu. Sema tu CCM hawana mtu mwingine> ndo maana wamempeleka Mkapa Igunga. Ni aibu ya mwaka!!!!!!!!! Shame on them.

Mkuu, bila kwenda mbali, ebu niambie amejibu hoja gani kwenye hayo majibizano ya FB?
Yule jamaa amehoji kitu, yeye Nape anajibu pumba!
Nape tulimshauri hata hapa JF aache kuchangio hoja kitotototo. kwa nafasi aliyonayo ndani ya chama chake yeye ndo sauti ya chama. Anachokisema yeye kinawakilisha sauti ya chama, lakini haelewi.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…