Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,021
- 103,417
Bora CRBD imelitolea ufafanuzi.
Benki ndio inawajibika kufunga au kutofunga sasa hizi pilipili mtama usiokula zawawasha nini?
Je wakikufungulia mashtaka ya kutoa taarifa za uongo na hujuma utamlaumu nani.Au mnataka Jamii Forum tufungiwe tena?
Acha mikwara mbuzi, jf ikifungwa tunahamia JamiiForums.com. Rais alisema atanunua korosho za wakulima ndani ya siku 2 iwapo wafanyabishara hawatazinunua na hela ipo. Je alichosema ni kweli? Je tumfutie urais wake kwa kusema uongo? Acha vitisho vya kipuuzi.