Chato: Wanaosubiri CRDB ifunge tawi lake, watasubiri milele na watakufa bila kelele

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,888
Dar es Salaam. Benki ya CRDB imesema haina mpango wa kufunga tawi lake la Chato mkoani Geita.

Benki hiyo imetoa kauli hiyo kufuatia taarifa za uongo zinazosambaa mitandaoni zikieleza uwepo wa mpango wa kulifunga tawi hilo la kisasa lililofunguliwa Machi 9,2018 na Rais wa Tanzania, John Magufuli.

Akizungumza na Mwananchi leo Jumatano, Febuari 27, 2019, Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa CRDB, Tully Mwambapa amesema hawana mpango wa kufuta tawi hilo.

“Hivi karibuni, kumetokea wimbi la taarifa za uzushi kuhusu benki yetu zikiwa na lengo la kuiharibia benki yetu kibiashara na taswira yake katika jamii,” amesema Mwambapa.

Amesema CRDB haina mpango wa kufunga tawi hilo na huduma zinaendelea kutolewa kama kawaida tangu tawi hilo lilipofunguliwa.

“Kwa yeyote anayefanya haya mambo anafanya uharibifu kwa CRDB pamoja na nchi yetu ya Tanzania kwani benki yetu ni muhimu sana katika uchumi wa Tanzania,” amesema Mwambapa.
 
CC Pascal Mayalla
 
Mbona nimeona matangazo ya CRDB ya kukodisha vyumba vya lile jengo la CRDB Chato asubuhi?
Ngoja nizitafute zile picha then nitaziatach hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar es Salaam. Benki ya CRDB imesema haina mpango wa kufunga tawi lake la Chato mkoani Geita.

Benki hiyo imetoa kauli hiyo kufuatia taarifa za uongo zinazosambaa mitandaoni zikieleza uwepo wa mpango wa kulifunga tawi hilo la kisasa lililofunguliwa Machi 9,2018 na Rais wa Tanzania, John Magufuli.

Akizungumza na Mwananchi leo Jumatano, Febuari 27, 2019, Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa CRDB, Tully Mwambapa amesema hawana mpango wa kufuta tawi hilo.

“Hivi karibuni, kumetokea wimbi la taarifa za uzushi kuhusu benki yetu zikiwa na lengo la kuiharibia benki yetu kibiashara na taswira yake katika jamii,” amesema Mwambapa.

Amesema CRDB haina mpango wa kufunga tawi hilo na huduma zinaendelea kutolewa kama kawaida tangu tawi hilo lilipofunguliwa.

“Kwa yeyote anayefanya haya mambo anafanya uharibifu kwa CRDB pamoja na nchi yetu ya Tanzania kwani benki yetu ni muhimu sana katika uchumi wa Tanzania,” amesema Mwambapa.
Figa hakuna shida na hilo, ni jema. Historia ni mwalimu mzuri. Korosho mlisema nini? Story ya Korosho sasa ikoje? Haya matangazo kwenye attachment tunaomba maelezo yake. May be ni photoshop/cooked images. Lakini kwanini mtu adanganye na kupiga na pich, shida yote ya nini? Nani asiyependa maendeleo ya Chato? May be kuna vyumba vya ziada havina kazi na hivyo wanavikodisha! Au ni jengo jipya la CRDB
Hakuna anayeomba tawi lifungwe, watu wanataka ukweli wa yanayojri kwetu ili kama kuna mahali pa kurekebisha turekebishe! Hakuna mwenye nia mbaya!
 
Attachments

  • CRDB C (1).jpg
    CRDB C (1).jpg
    71.8 KB · Views: 73
  • CRDB C (2).jpg
    CRDB C (2).jpg
    126.7 KB · Views: 77
Dar es Salaam. Benki ya CRDB imesema haina mpango wa kufunga tawi lake la Chato mkoani Geita.

Benki hiyo imetoa kauli hiyo kufuatia taarifa za uongo zinazosambaa mitandaoni zikieleza uwepo wa mpango wa kulifunga tawi hilo la kisasa lililofunguliwa Machi 9,2018 na Rais wa Tanzania, John Magufuli.

Akizungumza na Mwananchi leo Jumatano, Febuari 27, 2019, Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa CRDB, Tully Mwambapa amesema hawana mpango wa kufuta tawi hilo.

“Hivi karibuni, kumetokea wimbi la taarifa za uzushi kuhusu benki yetu zikiwa na lengo la kuiharibia benki yetu kibiashara na taswira yake katika jamii,” amesema Mwambapa.

Amesema CRDB haina mpango wa kufunga tawi hilo na huduma zinaendelea kutolewa kama kawaida tangu tawi hilo lilipofunguliwa.

“Kwa yeyote anayefanya haya mambo anafanya uharibifu kwa CRDB pamoja na nchi yetu ya Tanzania kwani benki yetu ni muhimu sana katika uchumi wa Tanzania,” amesema Mwambapa.
Pia iko haja ya ku-deal na wapotoshaji mitandaoni,upotoshaji huu una athari za kimkakati kwa namna moja ama nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora CRBD imelitolea ufafanuzi.
Benki ndio inawajibika kufunga au kutofunga sasa hizi pilipili mtama usiokula zawawasha nini?
Je wakikufungulia mashtaka ya kutoa taarifa za uongo na hujuma utamlaumu nani.Au mnataka Jamii Forum tufungiwe tena?
 
Back
Top Bottom