Uzi huu ni kwa ajili ya kushare chats na screenshot za chatgpt sessions.
Haya tuanze kazi!
sure ,Inalemaza inaua ubunifu.. Unakuwa na maarifa feki
Kabisa Inaathiri vizaziInalemaza inaua ubunifu.. Unakuwa na maarifa feki
Kwa hiyo hii ni ku-chat tu nikiwa idle haiwezi kunifafanulia kitu in case nikawa mvivu kusoma Google?ChatGpt ni app ya kuchati inayotumia akili bandia ya kubuni(AI).
Kuipata app hii nenda play store Tafuta neno chatgpt kisha install.
Kwa simu za apple na nyingine sijui namna ya ku download app hii.
Ukisha pata Fanya kuifungua na sign up akaunti yako anza kuchati.
Unaweza kuchati chochote upendacho .
mbona amekushauri vizuri sana, kopa ule ushibe halafu urudi akupe maujanja ya kupata mkwanjaMchoyo uyu jamaa
ChatGPTNini kirefu cha gpt?
Kumbe? Umesema kweli kaka.Inalemaza inaua ubunifu.. Unakuwa na maarifa feki
Dada najua ni mcha mungu wewe,ila mimi nimepoteza Imani kwa sababu ya shida na matatizo ya Dunia.Aisee nimekata tamaa ya kuwa mwema .Kama ChatGPT inaweza kuhubiri Injili namna hii - basi ni kweli hizi ni siku za mwisho!
Soma mpaka mwisho maongezi haya kati ya Interviewer na ChatGPT - utacheka, lakini pia utakubaliana nami kwamba hizi ni siku za mwisho. Injili inahubiriwa kwa kila njia, kwa mataifa yote, kama Yesu alivyotabiri(Mathayo 24:14) :) -------------- Swali: We chatGPT ni mbishi sana. Kila mahali, watu...www.jamiiforums.com
Umeeleza vizuri.ahsante kwa jawabu lako.ChatGPT
Chat Generative Pre-trained Transformer
Maelezo ya kila sehemu:
- Chat: Maongezi au mazungumzo ya kawaida (inayomaanisha mfumo unaweza kuzungumza kama binadamu).
- Generative: Mfumo unaoweza kuzalisha maandishi mapya (haukopi tu, bali hutunga).
- Pre-trained: Umefundishwa mapema kwa kutumia maneno kutoka vyanzo mbalimbali kabla ya kutumiwa na watumiaji.
- Transformer: Aina ya usanifu wa akili bandia ulioanzishwa na Google (2017), unaowezesha kompyuta kuelewa lugha ya binadamu kwa undani mkubwa.
Watu wanaotumia chatgpt wanajulikanaUmeeleza vizuri.ahsante kwa jawabu lako.
Japo najua ni copy and paste from chatgpt itself
Artificial Intelligence haziondoi creativity bali zinamfanya mtu anaependa kujifunza kuwa creative zaidi kwa kujiongezea maarifa juu ya skills ambazo tayari ana ujuzi nazo, ni ngumu mtu kuanza kujifunza skills fulani from the scratch kupitia GPT na kadhalika,.. ila mtu kama tayari ana ujuzi basi creativity itaongezeka zaidi kama atatumia AI vizuri.Self creativity and most of readings .. Chat pt inalemaza ubunifu
4Yes chatbots za AI ziko nyingi kama chatgpt,Grok,Gemini,KaliGpt ,Meta AI nk
Unatumia app ngapi kama hizo?
Kama ChatGPT inaweza kuhubiri Injili namna hii - basi ni kweli hizi ni siku za mwisho!
Soma mpaka mwisho maongezi haya kati ya Interviewer na ChatGPT - utacheka, lakini pia utakubaliana nami kwamba hizi ni siku za mwisho. Injili inahubiriwa kwa kila njia, kwa mataifa yote, kama Yesu alivyotabiri(Mathayo 24:14) :) -------------- Swali: We chatGPT ni mbishi sana. Kila mahali, watu...www.jamiiforums.com
sasa nikikopa nishindwe kulipa je,na ayo maujanja yasifanikiwe,bora nife njaambona amekushauri vizuri sana, kopa ule ushibe halafu urudi akupe maujanja ya kupata mkwanja
Au woote mnajikuta mna maarifa yale yale yanayofanana from.source ile ilee na hamjui kama ni kwel au uongo.Inalemaza inaua ubunifu.. Unakuwa na maarifa feki