Jaza hotuba ilivyo sema halafu sikiliza jawabu ,Chadema ombeni msamaha ujuwaji wenu unamuumiza mwenzenu .akubali alikosea maana unapoipeleka maneno ya Mheshimiwa Lisu ,jawabu unapata ni kosa.
Msipoteze hela kuwalipa mawakili ,japo sitoi mimi ,Mawakili watataka kutafuta umaarufu kupitia Mheshimiwa Lisu ,hata ukitoka msamaha Mawakili watajilabu.
Huwezi kucheza mpira ukiwa nje ya uwanja na humo katika wachezaji 22 , kama ni rafu au fawlu basi ni lazima uwemo ndani ,nje mtalusha mawe na kufungwa mtafungwa ,ila ndani mnaweza kuizidi ccm kwa rafu.
Tatizo wabongo ni wabishi wanaona watashinda au kuvuruga wakiwa nje ya uchaguzi,ile kusema tu ni kosa unasubiriwa ushahidi.