karekwachuza
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 999
- 335
huyu mama ni janga la kitaifaHuyu mama ni kelele nyingi tu hana lolote. Lisu kisiki cha Mpingo. Lisu hazina ya taifa. Lisu anatumia logic siyo thorax kama Lema. Lisu atamshinda mapema asubuhi. Kipindi hichi ndiyo huyu mama atachanganyikiwa kabisa. Lisu hangooki kwa ujio wa irrational and unorganised person kama Mary Chatanda. Mary please watch out, Lisu will truely frustrate you at the crack of the dawn
Hatimae aliekuwa katibu wa CCM mkoa wa Arusha na kuhamishiwa Singida, Mary Chatanda, ametua mkoani humo na kutangaza kuongoza vita kali ya kuhakikisha Mbunge wa Iramba (M) - CDM Mhe, Tundu Lisu anang'olewa katika uchaguzi Ujao.
Itakumbukwa Mama huyu ndio yule aliyeshindwa vibaya sana katika vita ya aina hii hii dhidi ya Mbunge wa Arusha Mhe, Lema wakati akiwa mkoani humo.
Haya sasa vita inahamishiwa Singida.
By the way nguvu na kiburi cha huyu mama ilikua ni Lowassa kule Arusha. Lowassa hayuko Singida. Pia ikumbukwe wabunge wengi wa Chadema ni wabunge wa taifa zaidi kuliko majimbo. Watu wako tayari kusafiri kwenda Singida kulinda kura za lissu tu.Huyu mama ni kelele nyingi tu hana lolote. Lisu kisiki cha Mpingo. Lisu hazina ya taifa. Lisu anatumia logic siyo thorax kama Lema. Lisu atamshinda mapema asubuhi. Kipindi hichi ndiyo huyu mama atachanganyikiwa kabisa. Lisu hangooki kwa ujio wa irrational and unorganised person kama Mary Chatanda. Mary please watch out, Lisu will truely frustrate you at the crack of the dawn
Lisu siyo wa nguvu nyingi kumuondoa mwepesi sana wakati ukifika mtayaona.
Hatimae aliekuwa katibu wa CCM mkoa wa Arusha na kuhamishiwa Singida, Mary Chatanda, ametua mkoani humo na kutangaza kuongoza vita kali ya kuhakikisha Mbunge wa Iramba (M) - CDM Mhe, Tundu Lisu anang'olewa katika uchaguzi Ujao.
Itakumbukwa Mama huyu ndio yule aliyeshindwa vibaya sana katika vita ya aina hii hii dhidi ya Mbunge wa Arusha Mhe, Lema wakati akiwa mkoani humo.
Haya sasa vita inahamishiwa Singida.
Lazima ang'oke kwa sababu Zipi? Katiba ya JMT Inasema Kwamba mbunge ni mwakilishi wa watanzania, sio wa jimbo lake tu. Je mama Huyu anajua ni mangapi lissu amewafanyia watanzania bila ya kujalisha itikadi zao? Ni Kwamba tu akili Zetu zinaendeshwa na matumbo badala ya ubongo, hivyo kushindwa kuona mambo rationally and objectively. Pia ni Kwamba we are taking things for granted kwasababu tunaishi ndani ya mabadiliko, Vinginevyo lissu ameshaingia Katika vitabu vya historia na Hakika jina lake litatajwa sana miaka mingi ijayo nchi hii itakapokuja kombolewa kutoka kwa mafisadi na manyang'au wasio heshima Sheria na Haki za wananchi. Hata Kama itakuja kuwa mwaka 2090, lissu atajadiliwa kama mashujaa wa harakati hizo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hatimae aliekuwa katibu wa CCM mkoa wa Arusha na kuhamishiwa Singida, Mary Chatanda, ametua mkoani humo na kutangaza kuongoza vita kali ya kuhakikisha Mbunge wa Iramba (M) - CDM Mhe, Tundu Lisu anang'olewa katika uchaguzi Ujao.
Itakumbukwa Mama huyu ndio yule aliyeshindwa vibaya sana katika vita ya aina hii hii dhidi ya Mbunge wa Arusha Mhe, Lema wakati akiwa mkoani humo.
Haya sasa vita inahamishiwa Singida.
wewe unaejua twambie hamsini kwa hamsini maana yake nini? kiserikali? kidini? kimila?kinini?Hujui kitu wewe, ramani ya tz huijui, geographia huijui, wala ramani ya tanzania hata mipaka ya utawala na siasa huijui unapaparika tu kama mtetea...mbunge wa iramba ni mwanamke anaitwa mwambu au tundu lissu naye siku hizi ni mdada?
Lisu siyo wa nguvu nyingi kumuondoa mwepesi sana wakati ukifika mtayaona.
Mh! huu ni uharo tu hana mvuto hata chembe na kwa Lissu hata asihangaike nae!mama noma yule, LISSU aangalie sana.