Ha ha ha! Anafikiri tundu ni kitanda eti! Ku.mama zake huyu
Huyu mama ni kelele nyingi tu hana lolote. Lisu kisiki cha Mpingo. Lisu hazina ya taifa. Lisu anatumia logic siyo thorax kama Lema. Lisu atamshinda mapema asubuhi. Kipindi hichi ndiyo huyu mama atachanganyikiwa kabisa. Lisu hangooki kwa ujio wa irrational and unorganised person kama Mary Chatanda. Mary please watch out, Lisu will truely frustrate you at the crack of the dawn
Kushushana Kisiasa Sio Kazi Iliyo Waweka Madaraka They Have To Thnk Jinsi Watavyotuletea Maendeleo Na Kutubadirishia Mfumo Mbovu Wa Maisha
eddy_mhando, neno kubwa sana hili umesema!!!
Mbunge wa iramba (M) ndio nini?Hatimae aliekuwa katibu wa CCM mkoa wa Arusha na kuhamishiwa Singida, Mary Chatanda, ametua mkoani humo na kutangaza kuongoza vita kali ya kuhakikisha Mbunge wa Iramba (M) - CDM Mhe, Tundu Lisu anang'olewa katika uchaguzi Ujao.
Itakumbukwa Mama huyu ndio yule aliyeshindwa vibaya sana katika vita ya aina hii hii dhidi ya Mbunge wa Arusha Mhe, Lema wakati akiwa mkoani humo.
Haya sasa vita inahamishiwa Singida.
Hujui kitu wewe, ramani ya tz huijui, geographia huijui, wala ramani ya tanzania hata mipaka ya utawala na siasa huijui unapaparika tu kama mtetea...mbunge wa iramba ni mwanamke anaitwa mwambu au tundu lissu naye siku hizi ni mdada?Hatimae aliekuwa katibu wa CCM mkoa wa Arusha na kuhamishiwa Singida, Mary Chatanda, ametua mkoani humo na kutangaza kuongoza vita kali ya kuhakikisha Mbunge wa Iramba (M) - CDM Mhe, Tundu Lisu anang'olewa katika uchaguzi Ujao.
Itakumbukwa Mama huyu ndio yule aliyeshindwa vibaya sana katika vita ya aina hii hii dhidi ya Mbunge wa Arusha Mhe, Lema wakati akiwa mkoani humo.
Haya sasa vita inahamishiwa Singida.
Hatimae aliekuwa katibu wa CCM mkoa wa Arusha na kuhamishiwa Singida, Mary Chatanda, ametua mkoani humo na kutangaza kuongoza vita kali ya kuhakikisha Mbunge wa Iramba (M) - CDM Mhe, Tundu Lisu anang'olewa katika uchaguzi Ujao.
Itakumbukwa Mama huyu ndio yule aliyeshindwa vibaya sana katika vita ya aina hii hii dhidi ya Mbunge wa Arusha Mhe, Lema wakati akiwa mkoani humo.
Haya sasa vita inahamishiwa Singida.
Akina josephine na halima mdeeLabda mziki Wa kitandani! Mi-mama ya ccm huwa ni kiboko, hayatoshelezwi kirahisi!
Aulize kuhusu lema kupenda mahabusu au ile style ya kuingia kwenye mabanda ya nguruwe? Ulimaanisha kipi hapo mkuuMuulize LEMA ndiye anajua mziki wake.