PreGE2025 CHASO: TAHILISO inafanya kampeni za CCM badala ya kuwatetea wanafunzi

PreGE2025 CHASO: TAHILISO inafanya kampeni za CCM badala ya kuwatetea wanafunzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Akizungumza mbele ya Makamu Mwenyekiti John Heche, Mwenyekiti wa jumuiya ya wanafunzi wa CHADEMA vyuo na vyuo vikuu CHASO. Ameeleza kuwa Jumuiya ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu yaani TAHILISO imehodhiwa na CCM na badala yake imesahau majukumu yake ya msingi ya kuwasemea wanafunzi na hivyo imeanza kuipigia kampeni CCM.

CHASO imesema ipo tayari kuwasemea wanafunzi kama hao wengine wanaoanzisha vikundi vya mama asemewe
 
Back
Top Bottom