Chaso kwa bavicha haikui (…)

Chaso kwa bavicha haikui (…)

Una mawazo mazuri saaaana lakini hapa si mahali pake. Kama Mmeletewa waraka kwa maandishi, kiuongozi tu unapaswa kumuandikia Katibu Mkuu wa BAVICHA na kumapa maoni yako. Mambo mengine si ya kukurupukia JF ndugu. Ni ushauri tu.
 
Hiyo namba tano huoni kama kiiongozi hukutakiwa kuielezea hapa kwa sababu ni mambo ya ndani ambayo ulitakiwa ujadili huko kwenye vikao vyenu?
 
Back
Top Bottom