Charlie Charlie is demonic challange?

Sasa mfano Mizimu ya Tanzania vijijini ambayo itakuwa karibu itakuwa inajua kiingereza!?
 
Huu mchezo usijaribu kucheza una masharti. Ubao wa Ouija.
Miongoni mwa sheria zake.

- Usiutumie ukiwa peke yako
-Usiutumie ukiwa nyumbani mwako
-Ukimaliza kukitumia ni lazima ukiage
-Kwa kuwa kina herufi na kina kitufe cha cha ubao cha kuongozea herufi zikitembea kwa kuonyesha herufi likapatikana jina la ZOZO katisha mchezo kiage sema kwa heri.
 
Huo mchezo ni mzuri kwa wanaobet
Unamuita huyo jini unauliza vp man u atashinda? Ikizunguka kwenye no unauliza tena man u atadroo ikizunguka kwenye no basi nenda kwenye mkeka weka man u kufungwa
Bora ufe huku unapata hela
Aiseee we jamaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…