Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,475
kuna video fulani ya mkenya nimeiona leo alipatwa na kitu kama alikuwa anatoka damu afu wanaomzunguka wanamlaumu kwa nini alicheza charllie charlieaiseee
Kulingana na historia ya huo mchezoKwa Nini wakaita mchezo huo ?
Charlie challenge!
Una uhusiano na
Champlin?
"Ukitaka kuona effect ya mchezo huu nenda mahala panapo aminika kuwa na visa vya kutisha au mazingara..Kulingana na historia ya huo mchezo
Charlie Charlie ni jina la mzimu au roho ya kishetani unayoikaribisha
Originally lilikua jina la mzimu wa mtoto aliyejulikana kama Charlie
But now ni utambulisho wa mzimu wowote ulio karibu
Hua wanaanza huo mchezo kwa maneno ya "Charlie Charlie are you there?"
Hapa una activate uwepo wa roho ya kishetani iliyo karibu yako
Then kama IPO,penseli ya juu itazunguka mpaka kwenye square yenye neno YES...kwa maana Nipo..
Kisha utauliza swali lolote unalohitaji na majibu yatakua katika mtindo huo Yes na No
(Boolean)
Ukitaka kuona effect ya mchezo huu nenda mahala panapo aminika kuwa na visa vya kutisha au mazingara..
Enjoy
Huo mchezo (Karatasi na penseli) ni kama interface au chombo kinachokuwezesha wewe kuzungumza na hizo roho chafu,majini au mizimu kwa lengo la kupata majibu ya maswali yako"Ukitaka kuona effect ya mchezo huu nenda mahala panapo aminika kuwa na visa vya kutisha au mazingara..
Enjoy" hii statement embu funguka vizuri😎😎
inatosha ya kuambiwa tusijezua mengineHuo mchezo (Karatasi na penseli) ni kama interface au chombo kinachokuwezesha wewe kuzungumza na hizo roho chafu,majini au mizimu kwa lengo la kupata majibu ya maswali yako
Hili izo penseli zizunguke na kukupa majibu inabidi ziongozwe na hizo roho
Huwezi cheza huo mchezo nyumbani au getto ukaona effect,hizo movies sasa
Ukitaka real effect achana na hivyo vi clips vya YouTube nenda sehemu ambayo ina aminika kuna matukio ya kutisha wewe, karatasi,na penseli zako
Sita usiku....
Then practice hilo game
unaweza tolewa rohoo kwa kijitakia hi january 🤣 🤣😂😂😂😂
ouija board ndo mbaya zaidUnafanana na ouija board(wija board)
Usiku tenaHuo mchezo (Karatasi na penseli) ni kama interface au chombo kinachokuwezesha wewe kuzungumza na hizo roho chafu,majini au mizimu kwa lengo la kupata majibu ya maswali yako
Hili izo penseli zizunguke na kukupa majibu inabidi ziongozwe na hizo roho
Huwezi cheza huo mchezo nyumbani au getto ukaona effect,hizo movies sasa
Ukitaka real effect achana na hivyo vi clips vya YouTube nenda sehemu ambayo ina aminika kuna matukio ya kutisha wewe, karatasi,na penseli zako
Sita usiku....
Then practice hilo game
Inakuwa vizuri maana unakuwa umemkimbia headmasterunaweza tolewa rohoo kwa kijitakia hi january 🤣 🤣