Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,341
- 13,021
Tokea huyu Mh. Atumbuliwe kwa sababu za ulevi uliopitiliza uliosababisha hadi kumfanya ashindwe kujibu maswali pale bungeni - kwa majibu wa recorded videos za Bunge, Mh. Kitwanga amekuwa kimya sana.
Hii inawezekana ahamini kile kilichomtokea au bado anakisununu moyoni mwaka.
Ingawa sasa hivi ni mbunge wa kawaida kama walivyo wabunge wengine lakini sijawahi kumsikia kabisa hata kuchangia hoja yoyote.
Kuna umuhimu wa ccm kumpeleka huyu mbunge wao counseling center ili akubaliane na hali halisi vinginevyo unaweza kusikia mtu ameondoka duniani kwa shinikizo la damu na hii yote ni kwa sababu ya mawazo na kutotegemea hipo siku moja uwaziri utamtoka.