Charles Kimei atangaza kustaafu Ukurugenzi CRDB mwaka 2019


Wewe ndiye uliyeanza kwa kutoa hoja vague. Hukusema ni lini na wapi Dr. Kimei alisema anamuogopa Magufuli na anamuogopa kwa lipi.
 
Hiyo ni private siyo government
Hapo ndio hua natofautiana hata na baadhi ya rafiki zangu kadhaa hapa kazini kwangu (nipo private sector), wao hudhani kwamba sheria za kodi ya PAYE wa serikalini na private hua ni tofauti, sheria ni hiyo hiyo tu hata ya kustaafu, wote ni miaka 60 kwa lazima na 55 hiyari.
 
Sheria gani hiyo inayolazimisha kustaafu private sector? Hebu tuoneshe source hapa.
 
Wewe ndiye uliyeanza kwa kutoa hoja vague. Hukusema ni lini na wapi Dr. Kimei alisema anamuogopa Magufuli na anamuogopa kwa lipi.
What's next? Utatakanikupe fingerprints za Dr. Kimei ili ujue kwamba yupokweli na si hadithi tu?

Unafuatilia habari?

Umeshindwa kuniuliza nikupe source?
 
Dr Kimei amejitahidi sana kuijenga CRDB imeenea nchi nzima huduma za uhakika na imesaidia kukuza uchumi wetu Tz, hasa mikopo, saving, kukuza sekta ya kilimo, viwanda na ajira. Amekua mfano wa kuigwa.
 
aiseee...2019 unatangaza leo?nini maana ya haraka hiyo?
Ingefaa ufahamu kwamba huwa kuna utaratibu wa muda wa resignation notice kwa kila rank/title hasa imezoeleka katika private sector.
Kwa akina sie ni 1-month notice
Senior Managers ni at least -3 month notice
CCO/CIA/CMO/Directors ni at least 6- month notice.
MDs/COOs/CEOs huwa ni at least 1-year notice.

NB: kutoa 24-hour notice huwa kuna maswali mengi kuliko majibu
I stand to be corrected na wataalamu wa HR
 
Accountability; huu msamiati haupo kabisa kwenye kamusi za wapinzani. wachukue somo toka kwa huyu ndugu.
 
Ingependeza akienda kufundisha somo la uchumi University yeyote TZ. However, universities kubwa za nje, zinaweza kumrubuni.....time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…