white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,883
kama ata base kwenye mambo ya mpira sawa ila akijiingiza kwenye vipindi vya siasa, mfano pale azam tv awe na kipindi kama kile cha steven sucker cha hard talk, ndio kwa heli, kwani siasa za bongo bwana ni shida, na hiyo sheria yao mpya ya mawasiliano inayokuja!! yasije yakawa kama ya tido, eti mzee makamba anasema tido hana elimu na hata hivyo vyeti vyake ni vya mashaka mashaka.