Brodre JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,587 Reaction score 1,858 Aug 8, 2015 #1 Habari wakuu Natafuta charger ya blackberry tab au yoyote yenye specs kama hizi Input 100-240v-300maH-50-60hz Output 5v=1.8A au output kuanzia 2.0A Pin ni kile cha simu common za android kama samsung Hii ni picha ya mwonekano wa hiyo charger
Habari wakuu Natafuta charger ya blackberry tab au yoyote yenye specs kama hizi Input 100-240v-300maH-50-60hz Output 5v=1.8A au output kuanzia 2.0A Pin ni kile cha simu common za android kama samsung Hii ni picha ya mwonekano wa hiyo charger
Abuhunna JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 409 Reaction score 233 Aug 8, 2015 #2 Kariakoo maduka makubwa ya vifaa vya cm zinapatikana ndg
Brodre JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,587 Reaction score 1,858 Aug 8, 2015 Thread starter #3 Abuhunna said: Kariakoo maduka makubwa ya vifaa vya cm zinapatikana ndg Click to expand... nimezunguka ndugu ndo maana nikarudi huku
Abuhunna said: Kariakoo maduka makubwa ya vifaa vya cm zinapatikana ndg Click to expand... nimezunguka ndugu ndo maana nikarudi huku