charger ya bbm inahitajika!

Kabaizer

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
504
Reaction score
64
Wakuu polen na majukum nilikua nahitaj cherger ya blackberry kutoka mikonon mwa mtu kwa sababu ya dukan cwez kununua,hivyo nahita ya mkonon kwa bei rahis!
Ahsanten xana!
 
Rekebisha usemi wako siyo chaji ya BBM bali ni BlackBerry.
 
Hahahahaha! Mi nnazo bwana kibao ila used original. Panga bei mwenyewe (zina bundle ya siku 30)
 
Kaka sio lazima utumie charger ya BB ambazo ni ghari hebu tafuta charger za Nokia,utapata kwa 10,000 jaribu zinaingiliana,hata mimi kuna wakati ndio nilikuwa natumia wakati nikitumia BB
 
Wakuu polen na majukum nilikua nahitaj cherger ya blackberry kutoka mikonon mwa mtu kwa sababu ya dukan cwez kununua,hivyo nahita ya mkonon kwa bei rahis!
Ahsanten xana!

Mkuu unatumia simu ya gharama unashindwa ku-afford charger ya sh 20,000 - 30,000??? maana ndio bei ya charger mpya...
 
ninazo mpyaa kabisa original elfu 10 tu nitwangie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…