Alexander Mahone.Michael Scofield, ila nilipogundua jamaa ni bwabwa; sikutaka kuendelea na series za mbele.
Nami niliichukia hiyo series baada ya kuambiwa Scofield ni shoga! Sitaki kuisikia tena! Jamani useng* mbaya sana!Michael Scofield, ila nilipogundua jamaa ni bwabwa; sikutaka kuendelea na series za mbele.
Mimi mpk leo ni shabiki wake sana....Michael Scofield, ila nilipogundua jamaa ni bwabwa; sikutaka kuendelea na series za mbele.
Kwani ulimpendea maisha yake au movie alizoigiza?hata Kama umpendi haizuii ubora aliouonesha kwenye prison breakMichael Scofield, ila nilipogundua jamaa ni bwabwa; sikutaka kuendelea na series za mbele.
Mzee baba jua kutofautisha Kati ya maisha binafsi ya mtu na Sanaa yake Kama utamjudge mtu kwa sababu ya maisha binafsi ya mtu na si kazi yake basi hautangalia movie nyingi za mastaa.Nami niliichukia hiyo series baada ya kuambiwa Scofield ni shoga! Sitaki kuisikia tena! Jamani useng* mbaya sana!
Halafu jamaa alikuwa anapenda Sana kulapa lipsTheodore "T-Bag" Bagwell huyu jamaa alikua moto wa kuotea mbali
alicheza vizuri sana character yake
Brad Bellick...Mwisho alikufa kishujaa sana kuwaokoa wenzake.Kwa upande wangu T-bagwell ndio alinivutia Sana namna alivyocheza kuanzia season 1 mpaka ya 4.zile swaga zake anazofanya akiwa anataka kitu muhimu alikuwa ananichekesha Sana, Jamaa alikuwa anapenda pesa ile mbaya alikuwa yupo radhi afoji jina la mtu mwingine Kama tu deal la hela anaweza kupata kupitia jina Hilo alilifanya hivi kwenye season 3.
Jambo lingine alikuwa kila Demu anadate nae alikuwa lazima amuuwe kasoro demu mmoja tu ndo alikuwa anampenda Sana kwa dhati ile mbaya ndo hakumuua.View attachment 1414826
Pale alipotoroka jela raia yoyote alipomuona na kutaka kumreport polisi alikuwa lazima amuuwe.Tabia nyingine alikuwa ana tabia ya kukugeuka ilimradi apate maslahi kwenye season 3 pale walipopelekwa kwenye ile jela la Sona ambalo ndani yake kulikuwa Hakuna walinzi zaidi ya wafungwa wenyewe kwenye Hilo jela akatafuta yupi ni mbabe wa pale jela akamuona akaona Bora awe ni kibaraka wake na akajifanya ni mpole kumbe ni katili kwelikweli ili aishi vizuri jela bila kubuguziwa baadae akamgeuka na kumuua baada ya kupata power alikuwa anaitaka na kuwa ndio mbabe mpya wa jela.
Je kwako ni character yupi ulimkubali kupitia series hii ya Prison break na Ni kwanini?
Alichonichekesha huyo jamaa ni alivyokuwa polisi alikuwa mbabe kwelikweli na alikuwa anawaonea Sana wafungwa ila baada tu kuondolewa polisi alikuwa mpole Kama pilitoni akawa anaonewa mpaka na T-bagwell.Berrick...Mwisho alikufa kishujaa sana kuwaokoa wenzake.
Naikumbuka Sana hii scene.
Yap, alitoa somo ukiwa kitengo usijisahau sana....ila badaesystem ilipomtema akakutana nao jamaa kitaa wakamsamehe akaingia kwenye deal la kufukuzia mkwanja.Alichonichekesha huyo jamaa ni alivyokuwa polisi alikuwa mbabe kwelikweli na alikuwa anawaonea Sana wafungwa ila baada tu kuondolewa polisi alikuwa mpole Kama pilitoni akawa anaonewa mpaka na T-bagwell.
Huyu mpumbavu simpendi kabisa!...senzi sana😂....walipotoroka jela kufata pesa, akaona jamaa watamkimbia akampiga pingu jamaa na mkono wake....jamaa wakaona isiwe shida wakamkata mkono😂😂😂...hili ni bonge la bedui!😂
Huyu mpumbavu simpendi kabisa!...senzi sana[emoji23]....walipotoroka jela kufata pesa, akaona jamaa watamkimbia akampiga pingu jamaa na mkono wake....jamaa wakaona isiwe shida wakamkata mkono[emoji23][emoji23][emoji23]...hili ni bonge la bedui![emoji23]
Halafu likawa na kivulana gerezani kama mke wake!...pimbi kweli!