johnywolfgang
Member
- Sep 30, 2016
- 39
- 60
Pulli ni kama unga ukiingia kuacha ni kazi sana,kuwa na mchumba sio ishu,, watu wana mademu zaidi ya mmoja na puli kama kawa... Ishu ni kuwa mbali na vile vyanzo vyote vinavyokusababishia kupiga puli ndio utawini....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app

