Sio Kila neno Lina tafsiri kwa lugha ni zao la utamaduni wa jamii. Kama Jamii haitumii kitu Fulani haiwezi kuwa neno au jina la hicho kitu. Waingereza hawana ugali ila uji mzito na hawana chapati kwa asili. Wanaweza kutumia neno asili ya lilikotoka
Chapati
Ila tamka kwa madoido
Kama ilivyo ugali
UMESOMA PHONETIX WW
KAMA UMESOMA BASI UTAKUWA UMESOMA [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]