Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,040
- 288,418
Katibu Mkuu kiongozi ameteuliwa na Rais ambaye ndio anayechochea siasa za kishamba za kutandika fimbo raia kinyume cha sheria .Kwanini Katibu Mkuu wa CCM azungumzie na kuonya watendaji wa serikali? Katibu Mkuu Kiongozi kazi yake ni kutangaza watenguliwa na wateuliwa tu? Yeye siyo sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya watumishi wa umma?
Wakoloni (Wajerumani hasa) walitumia Sana huu utaratibu wa kuchapa watu wazima pale Bomani (kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya). Na watu wazima wanakubali vipi kuchapa na mtu mzima mwingine? Kwa sababu hawataki au wanaogopa kupoteza kazi?
Kipi cha kushangaza kwa utawala huu wa jiwe? Bado nina kumbukumbu ya mzee Rugemalila na Sethi wakiwa wamepigishwa magoti, picha ile ya udhalili ilipamba uzi wako na bila aibu ulisherehesha tukio lile. Ulishajivua nguo siku nyingi, endelea tu kuchutamaWaliochapwa ni wateule wa Rais?
Heshima yako ilishashuka sana. From hero to zero. Maandiko yanaishi. Wanao na wajukuu ipo siku watakulaumu kuhusiana na unafiki wakoKwanini Katibu Mkuu wa CCM azungumzie na kuonya watendaji wa serikali? Katibu Mkuu Kiongozi kazi yake ni kutangaza watenguliwa na wateuliwa tu? Yeye siyo sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya watumishi wa umma?
Wakoloni (Wajerumani hasa) walitumia Sana huu utaratibu wa kuchapa watu wazima pale Bomani (kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya). Na watu wazima wanakubali vipi kuchapa na mtu mzima mwingine? Kwa sababu hawataki au wanaogopa kupoteza kazi?
Mkuu, hawa WATEKA NYARA wamepoteza muelekeo mapema sana.Kwanini Katibu Mkuu wa CCM azungumzie na kuonya watendaji wa serikali? Katibu Mkuu Kiongozi kazi yake ni kutangaza watenguliwa na wateuliwa tu? Yeye siyo sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya watumishi wa umma?
Wakoloni (Wajerumani hasa) walitumia Sana huu utaratibu wa kuchapa watu wazima pale Bomani (kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya). Na watu wazima wanakubali vipi kuchapa na mtu mzima mwingine? Kwa sababu hawataki au wanaogopa kupoteza kazi?
Huwa naona kama anashughulika zaidi na wale amabo huwa wanaapishwa na Rais, na hawa wengine wanaoapishwa na Wakuu wa Mikoa kama vile wakuu wa wilaya pamoja na sie wengine ambao huwa hatuapishwi, wakuu wa mikoa na wilaya si wapo? Kwa mfano, mimi hapa nilipo nikifanya chochote kisichokuwa cha kawaida, kuna Mkuu wa Idara tu anatosha kabisa kuniweka kwenye mstari. KMK ana mamlaka hayo ndiyo ila sasa issue ya Division of Labour na chain of Command ndiyo viinamrestrict. Yeye yuko peke yake, wanaomhusu wako kwenye mamilionNdio Mkuu wa watumishi wote wa umma...walioajiriwa
Tatizo lako ni kwamba tangu ujiunge na MATAGA umejiondoa ufahamu. Kwani Katibu Mkuu ndio alimteua huyo Naibu Waziri aliyechapa watu viboko, au yule DC au yule DAS? Unakwepa kuuliza "Magufuli yuko wapi" kwa sababu nafsi inakusuta kuunga mkono utawala huu kandamizi usiothamini haki za binadamu. Ila 40 yenu ninyi wanafiki ipo, kama si kesho basi huko mbeleni. Absolutely useless 😡Kwanini Katibu Mkuu wa CCM azungumzie na kuonya watendaji wa serikali? Katibu Mkuu Kiongozi kazi yake ni kutangaza watenguliwa na wateuliwa tu? Yeye siyo sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya watumishi wa umma?
Wakoloni (Wajerumani hasa) walitumia Sana huu utaratibu wa kuchapa watu wazima pale Bomani (kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya). Na watu wazima wanakubali vipi kuchapa na mtu mzima mwingine? Kwa sababu hawataki au wanaogopa kupoteza kazi?
Acha na katiba yale ni makaratasi, chama kina nguvu kuliko hata Jaji mkuu wewe, uko nchi gani?Hivi wewe unamjua katibu mkuu kiongozi ( Chief Secretary) ni nani?
Nenda kwenye katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kwenye ibara ya 60 , utajua katibu mkuu kiongozi ni nani
Ukiona serikali ipo kimya Basi ujue NI maelekezo yake watu wachapwe pale inapoonekana wamekoseaKwanini Katibu Mkuu wa CCM azungumzie na kuonya watendaji wa serikali? Katibu Mkuu Kiongozi kazi yake ni kutangaza watenguliwa na wateuliwa tu? Yeye siyo sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya watumishi wa umma?
Wakoloni (Wajerumani hasa) walitumia Sana huu utaratibu wa kuchapa watu wazima pale Bomani (kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya). Na watu wazima wanakubali vipi kuchapa na mtu mzima mwingine? Kwa sababu hawataki au wanaogopa kupoteza kazi?
Bila chapa chapa za wakoloni msingeweza kutoboa barabara pale sekenke, au ujenzi wa reli ya kati.Kwanini Katibu Mkuu wa CCM azungumzie na kuonya watendaji wa serikali? Katibu Mkuu Kiongozi kazi yake ni kutangaza watenguliwa na wateuliwa tu? Yeye siyo sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya watumishi wa umma?