DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,496
- 5,101
Nahisi ndo maana anafanya harakati fasta za kuhamishia serikali yake Idodomya maana anajua yeye na wenzake wanaoishi kule kwenye shombo ya samaki itabidi wajitimue pia. Trump mwenyewe nasikia asili ya wazazi wake ni wakimbizi kutoka Ujerumani. haahaaHahahahaaa, hili tangazo kuna watu tunalipenda sana lije. Haiwezekani nchi yetu ikawa na njaa hali yakuwa wakuja wamejazana kwenye kimji cha wazaramo na kuacha kulima huko.
Asante kwakunisahihisha.[emoji122][emoji122]Green Card holders wanaoathirika ni hao wa kutoka hizo nchi 7 zilizopo kwenye orodha.
Hivyo sio wote kama ulivodai kwenye bandiko namba 7 la uzi huu.
Hahahaha kwetu pazuriHakuna namna nyingine tuendelee kujifariji... Jumapili njema
Acha hiyo haiwezekani tokea. ..hahahaMagu atatoa tamko akitoka Addis Ababa kuwa wakuja wote hapa dar warudi makwao wakalime ili kukabiliana na njaa. teh teh teh
Mbona unabisha kwa nguvu sana? Utakuwa mhanga namba 1 nini?Acha hiyo haiwezekani tokea. ..hahaha
Mhanga?Mbona unabisha kwa nguvu sana? Utakuwa mhanga namba 1 nini?
Ndiyo , mhanga (victim). Au kiswahili changu ni cha watoto wa Kagame?Mhanga?
Aisee sio rahisi. .mimi biashara ya kujipeleka utumwani na mimi ni mfalme nyumbani. ...NO AND NO WAYS KABISA. .Lahula. .a salale. .Ndiyo , mhanga (victim). Au kiswahili changu ni cha watoto wa Kagame?
Haahaahaa. Tutabanana hapa hapa. He won't dare us.Aisee sio rahisi. .mimi biashara ya kujipeleka utumwani na mimi ni mfalme nyumbani. ...NO AND NO WAYS KABISA. .Lahula. .a salale. .
Yop.Haahaahaa. Tutabanana hapa hapa. He won't dare us.
Hamna haja ya kuwafukuza wamarekani kwani wao wameomba uraia wa hapa nchini kwetu? ...ni hao viherehere vyao vya KUUKANA KABISA NCHI ZAO NA KUHAMIA HUKO. ..WATA JIJUU KWA KWELI. ..Kama hamtakiwi Marekani na kwenu hamjafukuzwa rudini tu mkazijenge nchi zenu.
Kama na nyie mtaweza wazuieni wamarekani wasije kwenu tena mkiweza hata waliopo wafukuzeni kabisa.
Kwani lazima kwenda Marekani?
Acheni ubahau hata kwenu maisha yapo!
Trump nimem-downgrade manake amezilenga weak countries ambazo haziwezi ku-fight back!!! Ukiondoa Iran, nyingine zote ni yatima... hivi mtu unaweza kujisifu strong leader kwa kuipiga ban Somalia au Yemen!!!!Hii inaweza kumpa majaribu ya hali ya juu maana inaweza isiwe ni Marekani tu bali katika nchi zote ambazo ana biashara zake.
Waandishi wa habari ni watu wabaya sana
Nimeona scene moja Seattle Airport watu hawafiki hata 50 ila waandishi wakasema hundreds of people are protesting the ban
Kama ulivyosema, kuna some confusion lakini nilivyoelewa ni kwamba, hapa kuna makundi mawili ya Green Card holders! Kundi la kwanza, ni kama wewe NN endapo una GC lakini before Trump's order, say ulikuwa Syria!Green card holders wanaotoka kwenye zile nchi saba wanapaswa ku apply waiver ya hiyo executive action.
Habari za kwamba kila green card holder aliyepo nje ya Marekani kutoruhusiwa kurudi ni ama ni uongo au itakuwa ni matokeo ya sintofahamu iliyoibuka.
Ila kama utanipa source iliyo reliable inayosema kwamba kila green card holder ni marufuku kurudi Marekani, nitashukuru.
Lakini najua huwezi kunipa hiyo source kwa sababu hivyo ilivyodaiwa ni sivyo.
Ujerumani hata angekataa wakimbizi ni sawa tu manake mchango wake katika kuzalisha wakimbizi ni mdogo sana!Moja ya sababu lukuki zilizowafanya waingereza kujitoa kwenye umoja wa EU ni Sera mbovu za EU kugawana wakimbizi inapotokea nchi mwanachama wa EU ameshindwa idadi ya wakimbizi... Mfano mzuri ni wakimbizi waliochukukiwa na nchi ya German
babu yake alikuwa migrantHuyu jamaa hatofautiani sana na mtukufu wetu......
Mihemko na jazba ndio vinavyomsukuma kufanya maamuzi.......
Sidhani kama anafikiria kabla ya kutenda.....zaidi ya kutenda analoliongea......
Raisi wa nchi kama AMERICA mwenye ushawishi mkubwa ulimwenguni na pia anategemewa kuwa ni mwenye kuzijua vyema siasa za ulimwenguni......anashindwaje kulichanganua jambo jepesi kama hili.....!!??
America ni taifa la wahamiaji....ambapo ukichimbua unaweza kukuta hata yeye wazee wake walihamia......sasa anashindwaje kuheshimu wahamiaji wanaoteseka kwenye mataifa yao kwa sababu mbali mbali......
Natambua usalama wa taifa la unatakiwa uwekwe mbele lakini si kwa sera na sheria kama hizi kandamizi........
CHUKI HUPOFUA MACHO NA KUCHAFUA MOYO......
Mkuu usiende kwny maandamano wasije kukurudisha