KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,021
- 40,469
Kuna kampeni inaendelea ya ku-boycott bidhaa na biashara zake nafikiri hiyo itamnyoosha kidogo, Halafu nimepanda Jaji alivyotoa ufafanuzi wa kisheria wa kuwaacha watu wenye legal Documents waingie [emoji122] [emoji122]Unachosema ni kweli Mkuu, lakini anatimiza matakwa ya lile kundi kubwa lililomchagua maana alizungumza sera hizi katika kampeni zake sasa anatimiza. Baadhi wanadai nchi mbazo anafanya biashara zake hakuzigusa (Saudi Arabia na Pakistan) Sidhani kama alitegemea kungekuwa na upinzani kiasi hiki.
Kuna kampeni inaendelea ya ku-boycott bidhaa na biashara zake nafikiri hiyo itamnyoosha kidogo, Halafu nimepanda Jaji alivyotoa ufafanuzi wa kisheria wa kuwaacha watu wenye legal Documents waingie [emoji122] [emoji122]
Misingi ya UTU. ..wakati yeye hawezi kupata chakula bila KUUWA. ..huwo ni UWONGO ULIO PITWA NA WAKATI. ...Hata bila kuvuruga, Marekani imejengwa katika misingi ya UTU haiingii akili kumfukuza mkimbizi kwa sababu yoyote Ile. Hizo nchi zote zilipigwa X zinahitaji msaada mkubwa na sio kuwatelekeza
Hata bila kuvuruga, Marekani imejengwa katika misingi ya UTU haiingii akili kumfukuza mkimbizi kwa sababu yoyote Ile. Hizo nchi zote zilipigwa X zinahitaji msaada mkubwa na sio kuwatelekeza
Kwa kweli kuna Wamarekani tena Wazungu wana roho nzuri sana ya kusaidia hata wasiowajua.
Mkuu usiende kwny maandamano wasije kukurudisha
Hapo kachemka mno.Kwa kweli sheria ni kama kapu linalokusanya waliokuwemo na waso kuwemo.....ukizingatia hali ya usalama wa dunia sasa hivi......
Sidhani kama hii sheria itasaidia kile ambacho raisi amekikusudia bali nadhani itaongeza matatizo na utawala utakuwa mgumu.....
Kuna malaki na maelfu ya wananchi wanaoteseka huko Syria wanaohitaji huu msaada......na sheria hii ni kama kitanzi cha matumaini yao......
Ni kama vile dunia imewatenga.....
Hapo kachemka mno.
Na sidhani kama hata walikuwa wamejiandaa na ndo maana unaona kuna sintofahamu kubwa.
Sitashangaa kama ishu ikienda hadi Supreme Court.
We si ndio ulikuwa kiherehere kutetea hilo Nyama trump,fck trumpHapo kachemka mno.
Na sidhani kama hata walikuwa wamejiandaa na ndo maana unaona kuna sintofahamu kubwa.
Sitashangaa kama ishu ikienda hadi Supreme Court.
Huo ni uongo.
Wapi wamesema yeyote mwenye GC hataruhusiwa tena kuingia Marekani?
Kumbe watu huwa mnasoma vitu bila kuvielewa!
Kauli yako ishindwe milele. ..sisi ma green card hatuyataki. .hao walizonazo wanampango wa kuzikana nchi walizotoka au kama siyo hivyo huwa wanabaki kama raia wa nchi mbili. .hivyo ni hatari kwa usalama. ...Dawa ya moto ni moto, nauna Vita ya dunia inanukia, maana tukimgomea kuimport products zake zote na tukawatimua wamarekani ili nao warejee kwako, hawatavumilia! Ila dawa ndo hiyo, wanajeshi wao wote kokote duniani ktk mataifa yote tuwatimue warejee kwao, nao tuwe tunawakagua kitaalamu waingiapo ktk nchi zetu!