Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,366
- 6,947
Habari JF
Mimi ni dereva Bajaj.
Kutokana na kusoma makala mbalimbali, nimegundua ni lazima niwe na chanzo zaidi ya kimoja cha mapato, ili nifikie mafanikio.
Ila tatizo kila nikiwaza sipati jibu
Nimeamua kuja mbele yenu kuuliza je, ni biashara gani ambayo inaendana na Bajaji inaweza kuniongezea kipato??
Ahsante sana