Wadau habari zenu,
Naomba kujuzwa chanzo na tiba ya mafua yasiyoisha kwa mtoto mdogo, nina mtoto ambaye karibia wakati wote ana mafua na wakati mwingine kikohozi tumejaribu dawa nyingi sana za hospitalini na hata za miti na matunda lakini hakuna matokeo mazuri kabisa.
Naomba msaada wenu.
Asanteni