Chanzo Kikuu cha Mapato Manispaa Kinondoni: Billboards???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chanzo Kikuu cha Mapato Manispaa Kinondoni: Billboards????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr. Zero, Feb 22, 2011.

 1. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,493
  Likes Received: 2,738
  Trophy Points: 280
  Source Mwananchi

  Hivi kweli manispaa kubwa kama za Dar es salaam kutegemea mabango kama chanzo kikuu cha pesa ni uzembe au ni uvivu wa kufikiria??? No wonder Pombe anasema mabango yapo pale kwa ajili ya posho za vikao. Seriously nimeshindwa kuamini pale meya anaposema kuwa mabango ndiyo sorce kuu ya income ya manispaa na vilevile yanasaidia kupendezesha mji??? Nimechoka kabisa.

  Hivi ni kweli hakuna alternative nyingine za mapato zaidi ya hii ya uchafu wa mabango jijini Dar??
   
 2. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kuna siku uliwahi fikiri hawa wana akili wewe! Kwa taarifa yako hivyo ndivyo walivyo.
   
Loading...