SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
- Thread starter
-
- #21
Hivi kwa akili yako yakawaida unadhani yakwamba mwanzoni kulikuwa na nini ? .AMINI AMIN NINAKWAMBIA HAKUNA SEHEMU YOYOTE ULIMWENGUNI AMBAYO HAINA JOTO AU BARIDI lazima tu sehemu yoyote iwepo mojawapo ya nishati hizo na huwa nishati hizo hazionekani bali huwa tunaona madhari yake.Kwa hiyo NI SHATI YA JOTO au BARIDI ni nishati pekee isiyo umbwa ambayo LAZIMA TU ITAKUWEPO .Kwa mantiki hiyo lazima tufuhamu ya kwamba ZILIKUWEPO ni shati zisizo umbwa ambazo kwa namna yoyote ile lazima ziwepo tunajua kabisa NISHATI HUWA HAIONEKANI BALI TUNAONA MATOKEO YA NISHATI.Kwa hiyo mwanzoni kulikuwa na hali ya ukiwa tena utupu lakini kulikuwa na nguvu fulani zisizo umbwa ambazo lazima tu ziwepo kama nilivyo toa mfano wa joto au baridi.NINAENDELEA KUSEMA.
Katika utupu kulikuwa na nguvu au nishati?
Unaelewa maana ya utupu (vacuum) wewe?
Mbona unajichanganya!
evidence
Hivi kwa akili yako yakawaida unadhani yakwamba mwanzoni kulikuwa na nini ? .AMINI AMIN NINAKWAMBIA HAKUNA SEHEMU YOYOTE ULIMWENGUNI AMBAYO HAINA JOTO AU BARIDI lazima tu sehemu yoyote iwepo mojawapo ya nishati hizo na huwa nishati hizo hazionekani bali huwa tunaona madhari yake.Kwa hiyo NI SHATI YA JOTO au BARIDI ni nishati pekee isiyo umbwa ambayo LAZIMA TU ITAKUWEPO .Kwa mantiki hiyo lazima tufuhamu ya kwamba ZILIKUWEPO ni shati zisizo umbwa ambazo kwa namna yoyote ile lazima ziwepo tunajua kabisa NISHATI HUWA HAIONEKANI BALI TUNAONA MATOKEO YA NISHATI.Kwa hiyo mwanzoni kulikuwa na hali ya ukiwa tena utupu lakini kulikuwa na nguvu fulani zisizo umbwa ambazo lazima tu ziwepo kama nilivyo toa mfano wa joto au baridi.NINAENDELEA KUSEMA.
Kutokana na tafiti ndogo nilizo ninadhani mwanzo kabisa kabla ya kuwepo chochote kulikuwa hakuna kitu yaani utupu.
Katika huu utupu kulikuwa na Nguvu au nishati isiyo umbwa ya NISHATI YA BARIDI na umeme na nyinginezo
Kwa hiyo hizi nishati zisizo umbwasiku hadi siku zilikuwa katika hali ya mabadiliko jambo liliko sababisha kuongeza ku umbika kwa nishati au vitu vingine vinavyo umbika vyenyewe kulikuwa na vitu ambavyo vilikuwa vinaumbika AUTOMATIC.
.Na hisi kabisa mwanzo kabisa kulikuwa na utupu katika huo utupu kulikuwa na nishati mbalimbali zilizo kuwepo. Muunganiko wa hizo nishati ulisababisha utokeaji wa viumbe mbalimbali
Mimi mwanzoni kabisa ya ulimwengu kulikuwa kuna utupu. Baada ya utupu kukaa kwa muda mrefu vitu vyenyewe vikaanza kuumbika automatic.

Huyu jamaa alivodescribe big bang theory yani ovyo kabisa... Em somea uandishi basi kidogo ujue jinsi ya kujiexpress..
Sikiliza wewe hakuna sehemu yoyote duniani ambayo haina nishati ya BARIDI au JOTO kwa hiyo lazima mwanzoni kabisa kabla ya kuwepo chochote kulikuwa na NISHATI ambayo kwa namna yoyote ile lazima iwepo.Au na hapa bado unakataa
Ulishawahi kuona wapi sehemu yoyote ambayo haina NISHATI ya JOTO au BARIDI hata kama sehemu ipo katika hali ya vacuum lazima tu kuwepo kwa mojawapo ya NISHATI kwa sababu hiyo mwanzoni kulikuwa na hali ya ukiwa na utupu lakini KULIKUWA NA NISHATI ambazo ni lazima tu ziwepo .NA tunajua kabisa ni shati huwa haionekani lakini matokeo ya nishati ndo huwa yanaonekana.Kutokana hizi nishati kukaa kwa muda mrefu combination zake zilikuwa katika mabadiliko na baada ya mabadiliko kuendelea kwa muda mrefu kukawa na mwendelezo wa utokeaje vitu vingine na nishati nyingine.
Sikiliza wewe hakuna sehemu yoyote duniani ambayo haina nishati ya BARIDI au JOTO kwa hiyo lazima mwanzoni kabisa kabla ya kuwepo chochote kulikuwa na NISHATI ambayo kwa namna yoyote ile lazima iwepo.Au na hapa bado unakataa
utupu ukoje?chanzo cha utupu?utupu utatoaje kitu?
kweli mkuu. sote tunajua kuwa dunia na vilivyomoalitengeneza jamaa mmoja anaitwa mungu kwa kufinyanga matope.
Sikiliza wewe hakuna
sehemu yoyote duniani ambayo haina nishati ya BARIDI au JOTO kwa hiyo
lazima mwanzoni kabisa kabla ya kuwepo chochote kulikuwa na NISHATI
ambayo kwa namna yoyote ile lazima iwepo.Au na hapa bado
unakataa
Ndani ya huo ukiwa na utupu kulikuweko na nishati nyingi sana .Maana kunanishati nyingine ni lazima tu ziwepo HEBU JIULIZE KUNASEHEMU YOYOTE HUMU AMBAYO HAINA JOTO AU BARIDI Ni wazi kwamba sehemu yoyote kama haina joto basi itakuwa na baridi .Kwa mantiki hiyo mwanzoni kulikuwa hakuna kitu yabisi chochote lakini kulikuwa na NISHATI AMBAZO NI LAZIMA TU ZIWEPO .