Chanzo cha Uhai

Kama ulijua mungu hanihusu ulianzeje kunihusisha naye kwa kunitaka ni jibu swali lisilo ni husu??

Swali la kusema kwanini tunakufa unataka nikujibu mala ngapi?

Sent using unknown device
 
Maada ya Mungu umeileta wew kwenye post yangu, ...Mimi nimesema kuwa kwann hiyo sayansi isizuie kifo ili tusife? Haingekuwa bora zaidi wangefany ivo? Kuna faida gani juu ya haya yote wanayojidai kuyajua ihali watakufa na tena hawajui Ni siku gani?
Kama ulijua mungu hanihusu ulianzeje kunihusisha naye kwa kunitaka ni jibu swali lisilo ni husu??

Swali la kusema kwanini tunakufa unataka nikujibu mala ngapi?

Sent using unknown device

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yesu kristo hayupo, au tuseme mmechanganyiwa mambo aliyekuwepo ni Yashua ili kupitia yeye binadamu wavivu wasioweza kutafuta na kujua ukweli wafunguke na kusearch network

Hivyo unatakiwa ujitume uactivate you spirit uunganike na huyo Yashua a.k.a Yesu uweze kuongozwa na roho mtakatifu kama mnavyoita au cosmic power kisayansi

Dini umetengenezewa na Marduk au Enki a.k.a Shetani ili uweze kuongozwa na kutawaliwa

Usiamini maneno yangu fanya utafiti wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandka wewe au autocorrect??

Kiufupi usidhani siyajui unayoyaongea wewe nimepitia stage nyingi sana hadi kufka hapa ndio maana ninaujasir kusema siwapendi wanasayansi, japo tunatumia maarifa yao kuishi ila hii haimaanishi bila wao tusingweza Ku survive,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajilisha upepo kivipi? Na kwanini wajilishe upepo?

Halafu ujaniambia kifaa ulichotumia kuwapima mpaka ukagundua wanajilisha upepo?

Sent using unknown device
Unataka ukawapime ili ugundue kuwa hawana au wanayo? Kachukue vifaa walivyotengeneza wao uwapime, kwa upande Wang hawana akili na kauli yangu haiwezi kusimama kama principal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawew kumbe unajua kuwa hawana akili? Your a righteous man,

Achana nao hao hawana akili kabisa pmj na mbwembwe zao zoooote wameshindwa kukitoa kifo ili watu tufurahie Range Rover's zetu, wapumbavu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usilete shobo leta jibu la swali, nikiwaambia watu kua wewe ni kichaa ambae huna utimamu wa akili, alafu nikawaambia hao watu kua naenda kuomba ushauri kwa yule kichaa niliyekuwa nawasimulieni, unafikiri hao watu watanichukuliaje?

Hawata angalia upande wapili kua nilichokua nawaadithia kama ni sahihi, ila watajua mimi ndie kichaa na sio wewe, kwasababu huwezi ukaomba ushauri kwa chizi

Sasa wewe hapo unadhihirisha kua huna akili, unaanzaje kutumia vipimo vya watu ambao umedai kua hawana akili kupimia akili zao? Umejuaje kua vipimo hivyo ni sahihi wakati sliyetengeneza umedai hana akili?

Sent using unknown device
 
Kujua kuwa ng'ombe hula nyasi nako kunahtaji vipimo?

Uwezo Wangu wa Asili unatosha Kujua Wanasayansi Ni Wajinga sana,

Na ujinga wao utaisha pindi watakapo zuia watu kufa, ....ila yote wanayoyafnya Leo wajue kuwa wanajilisha upepo, kama nawew upo miongoni mwao unajilisha upepo,

.
Ulimwengu wenye nidhamu na utashi wa mazingira haujaja bahati mbaya, waambie hao wapumbavu ivo.



Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
 
Basi kwa taalumu uliyotumia hata wewe ni mwehu,

Leo hii anae amini mungu muweza wa yote na mwenye upendo kushindwa kudhibiti kifo anachukulia jambo hilo la kawaida sana, halafu wanasayansi ambao hawana uwezo wote kushindwa kuzuia kifo analichukulia kwa standard za juu

Hivi huu upuuzi ni lini utaisha

Sent using unknown device
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…