Chanzo cha ndoa kuvunjika

Chanzo cha ndoa kuvunjika

Hasham007

Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
13
Reaction score
2
Habari Zenu !!!

Zamani watu Wengi wanaoana bila hata kujuana awali : mtu analetewa mume na wazee wake , au mwanaume analetewa mchumba na wazee wake lakini ikitokea wamefunga ndoa basi ndoa zao hudumu muda mrefu zaidi

Lakini leo Kabla ya ndoa huwa mnajuana na munapendana ila mkioana ndoa hua haidumu muda mrefu : hivi nini kinachosababisha ndoa nyingi za Skuizi zisidumu ??
 
Wanaongea sana sikuhizi tofauti na zamani..
 
Sikuhiz watu wengi utandawazi umewafumbua macho na wanawake wengi wameelimika wanaweza kujitegemea tofauti na zamana wengi walitegemea wanaume hata mwanamke akandamizwe vipi anavumilia sababu ya shida zake na za kwao utakuta mwanaume anampiga anamtukana ila yupo tu sikuhizi elimu na utandawazi mwanamke hawezi kukubali kunyanyasika kisa ndoa atachapa lapa japo kuna wengine utandawazi umewaharibu wanaolewa hawajui kwanini wapo kwenye ndoa ile nidhamu ya ndoa haipo full kushindana ndani ya nyumba hapo nako lazima ndoa iyumbe haya na mawazo tangu
 
Mmmh acha ujinga kila mtu ana ulemavu wake ndo nioe afu nichapiwe kisa kibamia hapo lazima nimle kwanza hata kabla ya ndoa ila anijue vizuri nisje oa kumbe nimeoa bahari ya hindi nikichomeka kana elea kama umedumbukiza ndoano majini
 
zamani mapenzi yalikuwa ya kweli hassa. siri kubwa ilikuwa ni uvumilivu ndo maana wazazi wetu waliweza kuishi kwa mapenzi makubwa. hivi sasa mapenzi ni sifuri wa dada wanaangalia zaidi kipato magari nyumba kazi na handsome. wanaume tulio wengi tunaangalia uzuri wa sura na vyura.
 
Zamani walikuwa hawaachani, lakini kati ya watoto saba, watatu ni wa wababa wengine!!
 
Back
Top Bottom