Lucky Said
Member
- Jun 14, 2012
- 9
- 0
Jamani wenzangu naomba tusaidiane kitu kimoja,hivi ni kwa nini mabinti na wanawake wengi wamekua na makalio makubwa,na kwa nini iwe siku hizi na isiwe tangu kipindi cha nyuma?
Naomba tusaidiane jamani.
Zamani ungeona wapi kuwa ni makubwa hali ulikuwa hujakua wala kubaleh? na hukujua kihemkwa
chako pande za sex ni mapododo? mapododo yetu makubwa toka zaman hata mama na bibi walikua hivo hivo.
kwani zamani walikuwa wanaruhusiwa kutoka na skin tait ndani?