kazikwanza1981
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,577
- 729
Endeleeni kuwa na imani potofu ili wasipande bei. Sisi walaji tuendelee kuwapata kwa bei nzuri...
Unauhakika kuwa hawana wazazi??. Kwa faida yako: in a poultry production line there is commercial stock( the one you keep and eat), parent stock and grant stock. Karagabaho we.Wale Ni kuku wazuri tu ila tatizo lipo kwenye vyakula wanavyokula.
Jamani wana JF naomba kujuzwa source ya hawa kuku wa kisasa. Je Ni mayai kweli?Kama Ni mayai yanatagwa Na kuku gani?Nimekuwa nikifikiria hili suala bila ya majibu ya uhakika.Wenye ufahamu Na Hilo please..
Hormone wanazipata wapi . A cha uongoUsikatae mkuu wana hormone ambazo zina madhara kwa binadamu. Tatizo lako unadhamini kitoweo kuliko uzima
Hakuna kiumbe asie na pande mbili baba au mama! Hawa kuku wanavyo virutubisho vyote...tatizo lao ni moja hizi dawa wanazopewa wabongo wanazifaster zaidi ili kupata faida haraka, jambo linalopeleakea kukuwa haraka sana, then linapokuja swala la kumtumia ile dawa inakuwa haijaisha katika mwili wa kuku sasa na inaendelea ku- react katika mwili wa mlaji na hapo ndipo madhara yanapoanzia!
Jaribuni kuumiza vichwa na kusoma sio kila kitu unakuja kulalamika hapa. Wale kuku ni aina tu na wanazaliwa baada ya kukutana kuku jike na dume. Huwezi tengeneza kiumbe hai bila muunganiko wa kibaiolojia ambao ni kujamiiana. Mtoa mada unaonesha huko shallow sana kielimu
elimu inabadilika kila siku ìlo linawezekana. Viumbe hai wanaweza kuzalishwa bila kukutana kimwili.
Wewe ndio huko shallow kielimu,hebu nieleze kwa hayo mayai maelfu na maelfu ni majogoo wangapi na ni wapi mfano kwa Dar kuna huo mradi wa kutagisha mayai,hata hao broilers kawaida ukimuwekea jogoo,akimpanda mgongo unavunjika,ina maana hayo mayai yanatagwa na kuku tofauti na broiler.Pili jiulize kwa mayai ya kuku ya kiennyeji yakiatamiwa kumi at least 2 yanakosa fertility na hayatotoleki,iweje ya broiler yatotolewqe yote,Na kwa kuku wa mayai iweje vifaranga vyote vitoke jike?Jaribuni kuumiza vichwa na kusoma sio kila kitu unakuja kulalamika hapa. Wale kuku ni aina tu na wanazaliwa baada ya kukutana kuku jike na dume. Huwezi tengeneza kiumbe hai bila muunganiko wa kibaiolojia ambao ni kujamiiana. Mtoa mada unaonesha huko shallow sana kielimu
jaribu hata ku-google ujisomee inawezekana ila ni kwa kupandisha mbegu ili zikutane na mbegu za kike ndio kiumbe utokea. Kwa mawazo yako unafikiri kuku hao wa kisasa wanatokeaje? Kumbuka hata hao wa kienyeji kuna species tofauti tofauti nchi kama Malawi kuku wao ni tofauti na huku kwetu pia broiler ni aina tofauti ya kuku na ambao kuna broiler wanatengwa kwa ajili ya kuzalisha vifaranga na kuhusu kutotolea mashine hata kuku wa kienyeji, bata na kanga anaweza kuwekewa mayai yake huko akatotoa na vifaranga vikapatikana. Tujisomee jamani elimu hizi zinapatikana mitandaoni for free tu
Wale Ni kuku wazuri tu ila tatizo lipo kwenye vyakula wanavyokula.
Wale Ni kuku wazuri tu ila tatizo lipo kwenye vyakula wanavyokula.
hee!! ni kitu gani hii mkuu?kiukwel hawa ni kuku wa miujuza ,kuku with no sourse!kulen nyama na mayai muone mnapoua piston zenu na hatimae ufalme wa sita kwa sita wakafaid wengne wasiokula
Ni mayai ya kawaida tu ya aina hiyo hiyo ya kuku . huwa wanatengwa Kwa ajili kupata vifaranga. pia hao Wa nyama unaweza wacross na kuku Wa kienyeji na wakaadopt kabisa. nimeshawahi kujaribu kuwafuga kienyeji.
Wewe ndio huko shallow kielimu,hebu nieleze kwa hayo mayai maelfu na maelfu ni majogoo wangapi na ni wapi mfano kwa Dar kuna huo mradi wa kutagisha mayai,hata hao broilers kawaida ukimuwekea jogoo,akimpanda mgongo unavunjika,ina maana hayo mayai yanatagwa na kuku tofauti na broiler.Pili jiulize kwa mayai ya kuku ya kiennyeji yakiatamiwa kumi at least 2 yanakosa fertility na hayatotoleki,iweje ya broiler yatotolewqe yote,Na kwa kuku wa mayai iweje vifaranga vyote vitoke jike?