Chanzo cha Double Relationship kwa wasichana/Mabinti.

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,833
2,000
Wasichana/mabinti walio wengi huchanganyikiwa katika kuamua kati ya mapenzi ya dhati na mapenzi ya pesa. Wasichana wengi hupenda vyote viwili yaani mapenzi ya dhati na Pesa vyote kwa wakati mmoja. But in reality mapenzi ya dhati na pesa hujikuta zikiwa ni sifa mbili ambazo zinakuwa katika wanaume wawili tofauti yaani mwenye Upendo wa Dhati anakuwa hana pesa na mwenye pesa anakuwa hana upendo wa dhati. Hii huwaumiza na kuwachanganya sana wasichana wengi katika kuamua wawe na yupi, na ndiyo sababu unakuta wasichana/mabinti wanakuwa na double relationship! Mmoja mwenye pesa na mwingine mwenye upendo wa dhati! Ni changamoto kwa wasichana na ni sababu pekee zinazowafanya mabinti wasijielewe elewe na wasipate kabisa wanachokitaka kwani mshika mbili........... Na mtaka yote kwa pupa..........!
Huu ni mtazamo tu, mabinti msijenge chuki!
Hapo mnasemaje wadau?
 

Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,712
1,225
Nilifikiri hapa macho hufanyakazi zaidi kuliko vidole? Kwanini umeyanyima macho? Picha Mkuu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom