Channels za Azam TV

Channels za Azam TV

Babu wa Loliondo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
323
Reaction score
106
Wasallaaam wana JF!!
Kupitia akaunti yao (Azam TV) ya Facebook hizo ndio chaneli zitakazokua zinapatikana kwenye king'amuzi chao,wao hawajaweza kusema bayana kama watakua wanachaneli ya kuonyesha mechi za ligi za ulaya na duniani kote,sasa kwa vile JF ni kubwa,kama unaufaham na chaneli za michezo walizoweka hapo kua kuna yeyote inayoonyesha live mechi za ligi za ulaya,hebu saidia wadau nikiwemo na mim!!

CHANELI ZITAKAZOPATIKANA KWENYE KING`AMUZI CHA AZAM TV NI:

FILAMU:
Sinema Zetu
MGM Movies
African Movie Channel
Zee Cinema
Star Gold

BURUDANI:
Azam 1
Azam 2
Fox Entertainment
FX
e.tv
ZOOM
Star Plus
Zing
Colours
Euro Channel

MICHEZO:
Setanta Africa
Kombat Sports
MCS Compact
MCS Extreme

MUZIKI:
MTV BASE
MTV India
Box TV

MAARIFA:
Nat Geo
Discovery Investigation
Discovery Science

MAISHA:
Fine Living
Outdoor
Landscape

HABARI:
BBC News
Al-Jazeera - English
Al-Jazeera - Arabic
ENCA
Times Now

WATOTO:
Kids Co
Nickelodeon
Al-Jazeera - Kids

CHANELI ZA BURE:
TBC
Clouds TV
ZBC
Channel 10
Mlimani TV
KBC
Citizen
K24
KTN
 
si kama za ving'amuz vilivyopo tu zaidi ni nyingeza ya izo channel za azam wenyewe.... ligi ya uingereza? espn - nba? ligi ya spain?
 
Hakuna chanel za ligi za ulaya live,MCS wana baadhi ya chanel za club barani ulaya,huwa wanaonesha kwa muda
 
Wasallaaam wana JF!!
Kupitia akaunti yao (Azam TV) ya Facebook hizo ndio chaneli zitakazokua zinapatikana kwenye king'amuzi chao,wao hawajaweza kusema bayana kama watakua wanachaneli ya kuonyesha mechi za ligi za ulaya na duniani kote,sasa kwa vile JF ni kubwa,kama unaufaham na chaneli za michezo walizoweka hapo kua kuna yeyote inayoonyesha live mechi za ligi za ulaya,hebu saidia wadau nikiwemo na mim!!

CHANELI ZITAKAZOPATIKANA KWENYE KING`AMUZI CHA AZAM TV NI:

FILAMU:
Sinema Zetu
MGM Movies
African Movie Channel
Zee Cinema
Star Gold

BURUDANI:
Azam 1
Azam 2
Fox Entertainment
FX
e.tv
ZOOM
Star Plus
Zing
Colours
Euro Channel

MICHEZO:
Setanta Africa
Kombat Sports
MCS Compact
MCS Extreme

MUZIKI:
MTV BASE
MTV India
Box TV

MAARIFA:
Nat Geo
Discovery Investigation
Discovery Science

MAISHA:
Fine Living
Outdoor
Landscape

HABARI:
BBC News
Al-Jazeera - English
Al-Jazeera - Arabic
ENCA
Times Now

WATOTO:
Kids Co
Nickelodeon
Al-Jazeera - Kids

CHANELI ZA BURE:
TBC
Clouds TV
ZBC
Channel 10
Mlimani TV
KBC
Citizen
K24
KTN

ITV haipo?
 
Back
Top Bottom