Jacobus JF-Expert Member Mar 29, 2011 4,681 1,698 Jul 12, 2014 #61 Tokea rasimu ya katiba ilipotoka imemchanganya vilivo huyu mzee upande wa kuirejesha TANGANYIKA, nchi aliyozaliwa.
Tokea rasimu ya katiba ilipotoka imemchanganya vilivo huyu mzee upande wa kuirejesha TANGANYIKA, nchi aliyozaliwa.
rushanju JF-Expert Member Nov 3, 2011 3,131 4,620 Jul 12, 2014 #62 Mwanamke -------- huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Makwaia wa Ch10 anaharibu kipindi chake mwenyewe
Mwanamke -------- huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Makwaia wa Ch10 anaharibu kipindi chake mwenyewe
tpaul JF-Expert Member Feb 3, 2008 21,859 18,277 Jul 12, 2014 #63 mimi naona yuko sawa. kuna baadhi ya waongeaji nao wanajifanya kutoka kwenye mada kwa makusudi--anajitahidi sana kuwarudisha kwenye mjadala--ndio maana anaonekana anawa-interupt kwenye maongezi yao.
mimi naona yuko sawa. kuna baadhi ya waongeaji nao wanajifanya kutoka kwenye mada kwa makusudi--anajitahidi sana kuwarudisha kwenye mjadala--ndio maana anaonekana anawa-interupt kwenye maongezi yao.