N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,992
- 12,036
Yaani nyie picha zenu ni mbovu kweli mnaweza kuwa na content nzuri lakini picha zimefubaa kweli tena ni vipindi karibia vingi, jamani mna vipindi baadhi vizuri ila ubora wa picha hakuna kabisa, mathalani Habari picha hazifurahishi kabisa.BADILIKENI
