Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa Channel mpya ya DSTV kwa ajili ya East Africa inayoitwa Trace Muziki Kwa ajili ya kupiga ngoma za wanamuziki wa kutoka afrika mashariki, lakini nimekuwa disappointed kwani wanarudia nyimbo mpaka zinaboa, ni kama wana play list ya wasanii wachecha ambao wamewalipa kurudia nyimbo zao kila wakati..najua Afrika mashariki kuna wanamuzki wengi tu lakini walioko kwenye rotation yao hawazidi kumi hasa wakenya...
Badilikeni....KIFUPI MNABOA
DSTV tunahitaji burudani
Inaitwa kufunikwaaNimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa Channel mpya ya DSTV kwa ajili ya East Africa inayoitwa Trace Muziki Kwa ajili ya kupiga ngoma za wanamuziki wa kutoka afrika mashariki, lakini nimekuwa disappointed kwani wanarudia nyimbo mpaka zinaboa, ni kama wana play list ya wasanii wachecha ambao wamewalipa kurudia nyimbo zao kila wakati..najua Afrika mashariki kuna wanamuzki wengi tu lakini walioko kwenye rotation yao hawazidi kumi hasa wakenya...
Badilikeni....KIFUPI MNABOA
DSTV tunahitaji burudani
kiss na box ni nzuri sana...ukibahatika kukutana na hii Box hits, Kiss, magic. Hapa ni burudani mwanzo mwisho yan nonstop Hits
wale wanapiga hit songs zilizoko kwenye chat kwa mda huo. So ngoma ikichuja wanatia kapuni ndiomaana unakuta ngoma zinajirudiakiss na box ni nzuri sana...
sema waweza kuta miziki inapigwa BOX na Kiss hio hio