Channel gani Azam tv wanaonesha game za UEFA

Tswana14

Senior Member
Apr 13, 2017
167
73
sorry waungwana naomba kuuliza hivi ni channel gani wanaonesha game za UEFA champion league kwenye king'amuzi cha azam
 
Television za bongo ni za ki-senge kweli,yaani hakuna hata TV moja ya tz inayorushaga uefa champions league live
kwani umesikia bure kurusha zile mechi???
nani kakuambia chaneli za bongo hazioneshi UEFA??
 
Mwenye king'amuzi cha Azam Tv amechoka ktumiaa tuwasliane nakihitaji used
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Back
Top Bottom