Channel 10, Nani anamiliki?

Jamani nimeona vema niliweka hapa hili suala maana nimeambiwa na mmoja wa watumishi wa RA kuwa amenunua channel 10 na sasa ana mpango kamambe kuiimarisha!

Mwenye data zaidi, plz tuleteeni
Kwa mujibu wa Rais Magufuli leo alipotembelea ofisi hizo kama sehemu ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa ccm 5/2/1977 ni kwamba Chanel ten ni television ya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Musa ndo huyu tunae na tunampinga vile vile hahahahaha Tanzania hatujui tukitakacho
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atanunua kila kitu kwa vile iko pesa aliyoipata kwa ubwete. Kelele zikizidi ananunua na Muhimbili ili adhibiti hata matibabu ya wale wenye kuchonga sana juu yake.
Mkuu naona utabiri wako unaenda kutimia kuhusu matibabu..
 
Makamanda enzi hizo
Leo wanamwita Rais bora Hajawahi tokea

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 

Nakusoma nakusoma
 
Ni hiv

Wakina RA walipiga EPA, wakanunua makampuni mbali mbali ikiwemo Voda, Airtel na Channel ten, Rai etc

Magu alipo ingia ,kwa kujua kuwa ufisad ule pia ulikinufaisha Chama,sababu ulikuwa engineered na Mweka hazina wa Chama, lakin hali akiwa anataka kutuma a very clear message kuwa hatak ufisad

aka muita RA ikulu, na kumwambia kuhusu kurejesha mali zote ambazo zilipatikana kwa namna ya ufisadi

RA akakubali, karudisha ,ndo kisa share za Airtel zikarud serikalini

Ngoma ikawa channel ten na Magic , kuirudisha serikali no, acha ziwe za Chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…