Kweli , ndo maana akasema tusikimbilie kumbeMchakato wa kujiridhisha kama chanjo au dawa mpya ni salama na inatibu(safe and effective) huchukua miaka kuanzia 15 hivyo hizi chanjo za kuandaliwa ndani ya miezi mitatu lolote linaweza kuwapata wadungwaji
Safi sana. Nitajie hao wasaidizi wake tuone jinsi wanavyomwangusha.Magufuli ni jembe wanaomwangusha ni wasaidizi wake tu
Mkuu tuonane nije kukupiga hiyo chanjo ya Corona virus je utakubaliHakuna vaccine isiyo kuwa na risks lakini kabla hujachomwa sindano wana hakikisha hakuna dawa unayotumia inayoweza kuingiliana na chanjo, uliugua COVID ndani ya wiki mbili, u mzima wa afya.
Baada ya kupata chanjo unasubiri dakika 15 ndani ya clinic yenye wataalamu kama mfamasia, daktari na nesi.