Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 890 Reaction score 3,091 Mar 6, 2023 #1 mliochanja mnajisikiaje maana mlikuwa mnapewa na cheti kabisa
mkulu senkondo JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 1,895 Reaction score 3,653 Mar 6, 2023 #2 Ile Covid -19 na michezo yake yote ilikuwa scam. Wajanja tulijua mapema sana! Kuna pimbi ziliingia kichwa kichwa zikaliwa. Mafua hayajawahi kuwa tishio kwa ngozi nyeusi ndio Maana mm nikiwa nayo namuita demu wangu nimuambikize na yeye.
Ile Covid -19 na michezo yake yote ilikuwa scam. Wajanja tulijua mapema sana! Kuna pimbi ziliingia kichwa kichwa zikaliwa. Mafua hayajawahi kuwa tishio kwa ngozi nyeusi ndio Maana mm nikiwa nayo namuita demu wangu nimuambikize na yeye.