Mbona yamesha zuka siku nyingi kuna kitu inaiatwa homa ya ini mzee noma zaidi ya ukimwi.Baada ya hapo yatazuka maradhi makubwa zaidi
Ni kweli mkuu Kuna mtoto mmoja kazaliwa na Wazazi wenye ukimwi hawajawahi kumwambia mpk Sasa na dogo Ana AFYA nzuri kabisa Kuna kipindi anaumwa tu kama week akipona hapo haumwi tena hata miezi 8.. Sasa hivi Ana miaka 16.naona bora wamwabie tu asije kusambazaWAKATI REPORT ZA WHO zinasema wagonjwa wengi hawajijui kama wanaugua Ukimwi Duniani
hao wengi sana siku hz,unaweza dhani kadogo hakana wacha nikapge kavu nifaid,kumbe unajiumizaNi kweli mkuu Kuna mtoto mmoja kazaliwa na Wazazi wenye ukimwi hawajawahi kumwambia mpk Sasa na dogo Ana AFYA nzuri kabisa Kuna kipindi anaumwa tu kama week akipona hapo haumwi tena hata miezi 8.. Sasa hivi Ana miaka 16.naona bora wamwabie tu asije kusambaza