Changudoa na mwanafunzi

Changudoa na mwanafunzi

JambaziSugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
245
Reaction score
210
Jamaa kafanya mapenz na changudoa alivyomaliza
Changudoa: nipe changu fasta.
Jamaa: hii hapa.
Changudoa: we kaka mwehu nn.. yani raha zote nilizokupa unanipa sh 150?
Jamaa: (akatoa kitambulisho) mi mwanafunzi!!!
 
Mh! Dogo kila kitu anaenda nusu nauli siyo?
 
mwanafunzi gani anajituma mambo ya wakubwa lazima alipe hapo serikali haitoi ruzuku
 
Jamaa kafanya mapenz na changudoa alivyomaliza
Changudoa: nipe changu fasta.
Jamaa: hii hapa.
Changudoa: we kaka mwehu nn.. yani raha zote nilizokupa unanipa sh 150?
Jamaa: (akatoa kitambulisho) mi mwanafunzi!!!

Dah! nimecheka sana! hii kali.
 
Da! Siamini km changu anaweza akamuacha huyo dogo ni lazima atalianzisha tu
 
Na konda akimdai anampa 150 na aliempa utamu anamgeia 150 amkomalie dogo ckonga baadae xana
 
mwanafunzi gani anajituma mambo ya wakubwa lazima alipe hapo serikali haitoi ruzuku

Lazima alipe bei ya mwenye Mali hiyo sio nauli ya SUMATRA akome kudandia Treni kwa Mbele ALIPE 2
 
Back
Top Bottom