Changudoa kaniganda

Changudoa kaniganda

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
622
Reaction score
1,732
Niko Njiapanda wadau, hapa naomba ushauri kwa wanawake na wanaume.

Juzi asubuhi nakatisha mtaa wapili dukani nakutana na Mdada mzuri kwelikweli mtoto mrefu nyororo, mwili umepangika haswaa na rangi angavu ya kuvutia. Kama mwanaume nikasikia mapigo ya moyo yanabadilika ikabidi nifanye mchakato wa kumtongoza ingawa nilikua nahofu kwa uzuri ule lazima kuna kibosile anatoa huduma zake au ni mke wa mtu flani mwenye maisha yake. Tofauti na matarajio mtoto akawa mwepesii mpaka nikajiona bonge la kidume, nikapewa namba kisha kaondoka,huku nyuma nikajiona bonge ka handsome shababi jitu la uhakika.

Jioni mishale ya saa12 naona simu inaita jina la yule mrembo napokea ananiambia njoo home. Nilipofika nikashangaa kuwakuta wako mabinti kama wanne wote wazuri sana, cha kustaajabu nakuta wamevaa kimalayamalaya vitovu njenje wengine wako kwe skintight wengime matiti waziwazi. Na yule mlengwa naye kidogo alijaribu kujistiri kikahabakahaba, livaa sket ndefu na kitop chake lakini tumbo liko wazi, ndipo nikaona shepu yake live mtoto anatako zuri sana hips limetuna kama kajazwa upepo, kitovuni michirizi ya vinyweleo kuelekea chini huko.

Nikakaribishwa ndani, nilitaka kusita akanambia usiogope hapa kila mtu na chumba chake. Nikaingia kwa hofu huku nikijiuliza kama ana mume na sikuchoka kukagua ili nione hata suruali la kiume lakini kukawa shwari. Gafla naulizwa umekuja na kiasi gani cha pesa, yaani malipo unanilipa ngapi na unataka fasta au kulala na utalala hapa au twende kwako? Mh, yamekua hayo tena kumbe huyu dem anajiuza na hapa ni danguro. Mama yangu leo nimeingia mkenge, sasa nifanyeje mtoto wa kiume ikabidi nitamke pesa ya chini sana ili tushindwane.

Siku nyingine usije wala kunipigia simu kama hauna hela ya maana, sawa eeh!? nikaitika kwa kutikisa kichwa. Ghafla mtoto kaanza kuvua, mh! kwakweli sijui kwanini kaamua maisha yale, sijui kwanini wenye maisha yao hawamuoi wamfaidi ndani. Nikapewa kondom kisha nikamuuliza kwani unazo kondomu nyingine akanitolea boks na zingine kwenye pochi yake ya kazi, akauliza unatumia ngapi nikupe?

Nikasema nilitaka nijue kama unazo nyingi. Nikauliza bila ndomu nikupe ngapi, akasema sinaga mchezo huo hata kwa pesa yoyote. Hapo mtoto ameshakua kama alivyoz\ zaliwa .. Nakumbuka alipo niambia vaa kondomu kwanza na wakati huo akachukua akalimenya ndomu akanivalisha, kilicho endelea sikumbuki ila nacho weza kukumbuka baadaye akanipa boks akanambia vua hiyo weka humu. Hapo nilikua nimetumia ndomu mbili nikachukua na ile ya chini nikatia mule ndani.

Mungu anisamehe ni mara yangu ya kwanza kufanya ujinga huu, nilikua najiona siwezi kamatika ila kwa uzuri wa huyu dem nimekua kiumbe dhaifu kuliko nyuzi ya buibui.

Baada ya yote nashangaa mdada anaanza stori nyinginyingi na anakua mchangamfu sana mpaka nikahisi labda amenihurumia kwakua sina hela na pengine atanirudishia pesa yangu. Ikabidi nimpe ushirikiano wa stori. Akanisimulia sababu za kufanya kazi hiyo na Malengo yake ya kutafuta mtaji. nikamuuliza kwahiyo unapata kiasi gani kwa kila siku, akanambia anapata kuanzia elfu 75 hapo anakua amepata wateja wawili au mmoja wa maana.

Sikutaka stori nyingi nilitamani nitoweke watu wasinione maana ni aibu kwakua hapo watakua wanajulikana na majirani alafu mi naishi mtaa wa pili tu.

Wakati naondoka yule dem katoka kunisindikiza kisha kaniambia .. "Ukiwa boyfriend wangu nitakua nakupa bure kila siku". Gafla nikamuuliza, unataka niwe bwana wako akajibu ndio .. mh. Inawezekana vipi niwe bwana wake, yaani Malaya anakuwaje na bwana? sasa anataka nini kwangu? sina pesa alafu analala na wanaume kila dizaini sasa bwana wa nini tena? Amekosa nini huyu ambacho atakipata kwangu?

Niliishia kumwambia tutawasiliana, karundi akisema amepata mteja hivyo anaondoka. Mi nikasepa zangu mawazo tele kichwani nikiwaza hatma yangu kwa dhambi hii. Ilipofika usiku saa tano naona simu yake, Anauliza mbona hauja nimbia kama umefika salama? nikajibu niko poa, akauliza uko na nani? Niko pekeangu, akaniaga akasema tutaonana kesho.

Ilipofika asubuhi napigiwa simu kusalimiwa. Namuuliza habari ya kazi, tofauti na kwaida yake anajibu kwa kujilazimisha.
Nilipokua mjni katika mishe zangu, anapiga simu nimwambie nilipo, akaja tukaenda kula akalipia msosi, nilijaribu tena kumuuliza ili nijue na jana pia kaingia pesa ile aliyo nambia? lengo langu ni kumshauri na kumsisitiza afanye kazi yake kwa malengo kama alivyo nieleza, tofauti na kawaida yake anapata taabu kujibu swali na anaonesha wazi hapendi nimuulize maswali au tuzungumzie hiyo kazi yake.

Kuna hali flani anaonekana nayo kwa sasa, ananionea aibu flani na muda mwingi anakaa kimya kama kunitegea hivi na hapendi nimuangalie usoni. Binafsi nimemzowea na najaribu kumuona wa kawaida. Kuhusu kuwa wapenzi binafsi naogopa kutokana na hiyo kazi yake hasa kwakujali afya yangu, nimemwambia swala la kupima afya kanambia yuko tayari na atalipia yeye garama zote.

Swali najiuliza kama tutapima na awe anaendela na kazi yake sasa inamaana gani? Najiuliza kwangu kapenda kitu gani? Mbona anapata vyote kwa faida?

Swali nalopenda mnisaidie. Hivi Malaya nao wanakuwa au wanahitaji mpenzi wa kudumu? Wakazi gani? Hapo nafanyaje?

Naombeni ushauri jamani hili limenitokea mimi na sio mwingine na sitaki kusingizia, ooh kuna rafiki yangu ilitokea vile na vile no, ni mimi hapa tena juzi jumaosi tu.
 
Sema umeandika ukiwa bado una usingizi sijui?

Ok poa, we mweleze tu kama yuko tayari kufata unayotaka yani mpime na yeye abadili tabia na akupe muda wa miezi mitatu ukiwa unamchungaza kama kweli kaamua kuiacha hiyo kazi yake yasasa na baada yakujiridhisha kuwa kweli kaacha bhasi mpe nafasi.

Hao watu nao huwa wana hisia zakupenda mzee hata mm iliwahi nitokea mkasa kama wako dada wawatu alikua hasikii wala haelewi kwangu.
 
Mkuu shida yako nini?Kama unamuona ni malaya unaenda naye kimalaya malaya ila kama unamuona wife material basi unawekeza unamuweka ndani.Kama hujielewi unasepa sio unapotezea mtu muda kuja kumjadili huku.

Unafikiri kuwa malaya kuna mfanya awe less of a woman?Les of a human,less of a person?Unafikiri kuwa malaya kunamfanya awe hovyo zaidi yako?

Umalaya ni ajira isiyo rasmi.Ni mfumo wa biashara ambao ni kongwe kuliko bioshara zote huku duniani.Ndio biashara ambayo inafaida kubwa kuliko biashara zote.Kama umewahi kusikia ule msemo unaosema"Furahia kile unachofanya...Basi umalaya ndio kazi pekee ambayo mfanyaji anaweza kuifurahia huku anavuta mkwanja.

UShauri wangu.UKIMWI UPO NA UNAUA KUWA MWANGALIFU
 
Wanawake karibu wote wanajiuza ama waliwahi kujiuza tofauti ni wanajiuza Mara ngapi, wapi na kwa watu gani.
No offense meant.

Kisaikolojia, kila mwanadamu anatamani kuthaminiwa na kupendwa, huko nje anafanya biashara ya mapenzi kwako anatafuta thamani ya utu wake.

Anataka kujaza ombwe lililopo ndani ya nafsi yake. Nenda naye taratibu,muonyeshe utu ila maamuzi ni yako.

"....Human being can withstand many things in life except loneliness...."
 
andoza

Hapo umemalizia vizuri nashukuru. Lengo langu ni kutaka ushauri tu, penye wengi kuna mengi. Asante.
 
Once a liar always a liar huo ndio msimamo wang huyo mwanamke kuachana na hiyo kaz ni kama simba kuacha kula nyama ahamie kwenye nyasi yan
 
Nao ni binaadam kama akina mwanaisha wanapenda na wanahitaji kupendwa ila ile ni njia ya kuingiza kipato
 
Dogo hutaweza kumuoa, Uzi wako wote unaonekana unaogopa gharama sana! Narudia kama unataka vitu cheap kwa kuogopa Gharama basi una hali mbaya! Mimi sikuona Malaya but nimemuona kidume anayeogopa gharama! Acha ujinga tafuta pesa, mjue Mungu, shika dini!
 
Na wao wana moyo kwanini wasipende muoe mkuu ndio majaliwa yako hayo usikatae bahati
 
Kuna watu mn moyo sana.. Unapata muda kabisa wa kumuwaza kahaba.

Ila hapa mjini sio pa kumuamini mwanamke kirahisirahisi..
 
Inawezekana huyo dada amechoka na hiyo biashara hivyo amekuona unafaa kuwa baba maybe umemridhisha hivyo anatamani mjenge familia

Lkn pia huyo anaweza mke sahihi kwani anazijua changamoto za maisha mm naamini anaweza kuwa mke bora kupitia wewe na hata yeye amekuona wewe ni the best kwake
 
Kiongozi Nakushauri usimtenge huyo mdada..kafika hatua anayotaka kua na mtu wa kumthamini na kumpenda. Everyone needs to belong to someone.

Hakuna binaadamu mkamirifu..kila binaadamu past yake inanuka, mvumilie inawezekana wewe ni malaika wake wa ukombozi umetumwa ukamtoe huko kwenye hiyo hali. Kuna jamaa alikua anaitwa Sauli, huyu jamaa alikua ni mshenzi kuliko ushenzi..kateketeza watu. Lakini baadae alibadirika akawa mtu mashuhuli na mwanafalsafa mkubwa duniani (Yupo namba 3). Kawaacha hata wale waliokua ni bora (mitume 12) katika utendaji kazi.Hakuna mtume aliyefanya kazi kubwa kama Paulo

Nakushauri kua nae usimtenge..usijali watu watakuonaje, fanya kazi uliyopewa na Mungu ya kumtoa huko..utasaidia wengi wanaomzunguka. Past au present ya huyo mdada isikufanye u determine future yake.
Kila mtu mapito yake yananuka..Endelea kua nae.
 
Pole sana cha msingi mshauri awe na akili ya kutafuta hela kwa shughuli halali ambazo zitamfanya awe na mawazo chanya tofaut na kazi anayoifanya ni heri aanzishe mama lishe au kijiwe cha chips atafanya vzr pia inategemeana na fursa zilizopo hapo mtaani maana sio wote wanaojiuza wanapenda wengine ni shida za maisha na kukosa ushauri wa kujikwamua kimaishaw.
 
Unaweza mbadilisha utakua umemsaidia sana sikiliza moyo wako unasemaje..?
 
Ndio tayari Umeshafanywa king'asti dogo....
 
Hizoni njaa tu. Akipata mwanaume mwenye hela anatulia.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom