unataka azawadiwe ban sio
Uzi kama hizi zinatakiwa kupigwa ban, watu wanaweka namba za malaya kweli na vijana wanaenda kujizolea magonjwa huko.unataka azawadiwe ban sio
kweli kabisa alafu ni ujinga mtupu si aende huko wanakojiuza akajilokote litaka taka lake likamuue na UKIMWIUzi kama hizi zinatakiwa kupigwa ban, watu wanaweka namba za malaya kweli na vijana wanaenda kujizolea magonjwa huko.
Pia wanaweza weka namba ya mkeo ukajikuta jela maisha inakuhusu.Uzi kama hizi zinatakiwa kupigwa ban, watu wanaweka namba za malaya kweli na vijana wanaenda kujizolea magonjwa huko.