Chango(maumivu ya tumbo). .

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,771
59,119
Jamani naomba kuuliza ikiwa kuna dawa ya kumsaidia mtoto wa mwezi mmoja kuondokana na maumivu makali ya tumbo (nadhani ndio waswahili wanaita chango).

Hosp wanasema ni gas sababu ya kunyonya vidole ila mtoto mwenyewe hata simwonagi akinyonya vidole maana hata kuviweka mdomoni hajaweza bado.
 
nenda kwa wamasai au ulizia shubiri iliyokaushwa ipo kama Tanzanite ni vidogo vidogo vipande mpasulie kipande size ya mchanga unaloweka kijiko kimoja au nenda kwa wamasai huo ni mchango ma dr. wanasema husababishwa na utosi kudunda afikapo miezi 3 utapungua na mwaka mmoja unaacha kwa sababu utosi unakuwa umefunga,unaendelea kumpa dawa ya mchango hadi atakapofikisha miaka mitano akiwa amepata homa kali au wakati wa mawingu coz homa kali pia yaweza kusababishwa na mchango ikiwa kali sana husababisha degedege dawa za kienyeji ndo zinazohusika pole mwaya mwenzio nilikuwa silali
 
Kama upo Dar, nenda pale Mtaa wa Nyamwezi kuna maduka ya dawa za kiarabu waambie kuna dawa nzuri sana za vichango vya watoto ila nenda kwenye yale maduka ya kizamani zamani sio haya mapya si unajua wachina wengi!. Pole kwa baby.
 
Back
Top Bottom