Umewai kujua ni kwa nini baadhi ya keyboard alama kam "@" haiko sehemu uliyozoea. Au alama hiyo ya @ ukiibofya inatokea alama nyingine mfano "
Tatizo hili linatokana na KEYBOARD lay out iliyosetiwa. Inaweza kuwa ni layuout ya UK , US ,ujerumani. kuna tofauti chache lakini zinaweza kuchanganya hasa pale ishara inayoonyeshwa kwenye keyboard siyo inayotokea kwenye screen.
Suluisho la tatizo hili ni kuset KEYBOARD LAY OUT AND OR LANGUAGE iendana na mpagilio wa keyboard yako.
nadhani maeleo hayo yanaweza kutumika kama gude hata kwa watumiaji wengine wa windows. Vile vile nadhani inawezekana kubadilisha keyboard kwenye herfifi mbali mbali kama kiarabu, kirusi,kiyahudi. nk
Kipeto Lugha cha Kiolesura cha Windows Vista (LIP) hutoa toleo lililofasiriwa nusu la Kiolesura cha Mtumiaji cha maeneo yanayotumika sana ya Windows Vista Kwenye Ukurasa Huu
Jina la Jalada:LIP_sw-KE.mlcToleo:1.0Tarehe Iliyochapishwa:04/11/2009Lugha:KiswahiliSaizi ya Upakuaji:2.5 MBMuda Unaokadiriwa wa Upakuaji: 7 dakika 56KMuunganisho wa modemu (56K)DSL/Kebo (256K)DSL/Kebo (768K)T1 (1.5M) 7 dakika Badili Lugha:KiafrikanaKialbaniaKiamhariKiarmeniaKiasamisiKiazeri (Latino)KibaskiKibengali (Bangladeshi)Kibengali (India)Kibosnia (Latino)Kibosnia (Siriliki)KifilipinoKifursiKigalishiaKigurajatiKihausaKihindiKiiboKiindonesiaKiisekozaKiislendiKijojiaKikannadaKikatalaniKikazakiKikechwa (Peru)KikemeaKikergiziKikonkaniKilaoKiloksombagishKimalayalamiKimalei (Brunei Darussalam)Kimalei (Malesia)KimaltisiKimaratiKimasedonia (Jamhuri ya Masedonia ya Yugoslavia ya zamani)KimauriKinepaliKinoktituti (Latino)Kinorwe (Nunosk)KioriyaKipunjabiKiserbu (Siriliki)Kisesoto sa Lebaokisetswana (Afrika ya Kusini)KisinhalaKiswahiliKitamiliKitatariKiteluguKiurduKiuzbeki (Latino)KivetinamKiwelshiKiyorubaKizulu
Muhtasari
Kipeto Lugha cha Kiolesura cha Windows Vista (LIP) cha Windows Vista hutoa toleo lililofasiriwa nusu la maeneo yanayotumika sana ya Windows. Baada ya kusanidi LIP, matini kwenye vigagula, vikasha ongezi, menyu, mada za Saidia na Auni, na vipengee vingine kwenye kiolesura cha mtumiaji huangazishwa katika lugha ya LIP. Matini ambayo hayajafasiriwa yatakuwa katika lugha msingi ya Windows Vista. Kwa mfano, kama ulinunua toleo la Kihispania la Windows Vista, na ukasanidi LIP ya Kikatalani, baadhi ya matini yatabaki katika Kihispania. Unaweza kusanidi zaidi ya LIP moja, kwa hivyo kila mtumiaji wa ngamizi anaweza kuangazisha kiolesura cha mtumiaji katika lugha yake anayetaka.
Microsoft Windows Vista
Kiolesura cha mtumiaji katika lugha zinazofuata: Kiingereza
Mb 4.63 ya nafasi wazi ya upakuzi
Mb 15 ya nafasi wazi ya usanidi
Jukwaa Zinazoauniwa: LIP hufanya kazi tu na matoleo ya biti-32 za Windows Vista na haziwezi kusanidiwa kwenye matoleo ya awali ya Windows au kwenye matoleo ya biti-64 za Windows Vista.
Upakuaji huu unapatikana kwa kudabiri Windows halisi ya Microsoft. Bonyeza kitufe cha Endelea katika sehemu ya Uhakikishaji Unahitajika ilio juu ili uanzee njia fupi njia ya kuhakikisha. Mara tu inapohakikishwa, utarudishwa kwa ukurasa huu na maagizo maalum ya kupata upakuaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.