Changia: Weka itikadi kando..

Changia: Weka itikadi kando..

kula kwa tindo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
1,330
Reaction score
324
Ikiwa kwa Miaka mingi, Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, inategemea makusanyo ya Ushuru wa kodi za Sigara na Vinywaji (hasa Pombe) Katika kuendesha Shughuli zake (Kama tulivyoshuhudia ktk Bajeti zote)
Je! Endapo Watumiaji wa Sigara na Pombe wakikacha na KUOKOKA..
ITAKUAJE KWENYE BAJETI HIZI?
Serikali inatuaminisha kua WAVUTA SIGARA na WANYWAJI POMBE ndio wanaoliwezesha Ukuaji wa pato laTaifa hili ?
 
Bajeti ya 2011/12 mlipa kodi mkubwa ilikuwa kampuni ya bia Tanzania TBL.

Walevi wakiaacha kunywa pombe, mark my words, serikali ita collapse, haitaweza kulipa mishahara ya wafanyakazi.
 
"Naendelea kuomba Mungu na natamani kuiona hiyo siku ambayo kila mtanzania atakuwa ameokoka"
Mungu wa Mbinguni yafanye maneno haya kuwa kweli,kwa ajili ya roho za watanzania zisiangamie"
Kuhusu kuwa serikali watafanyaje,kwa sababu nao ni watanzania na watakuwa wameokoka Mungu
atawapa akili ya namna gani wapate pesa za kuendesha nchi.
 
Mkuu hapo inamaana, ili tuepuke Bajeti tegemezi tuongeze WANYWAJI POMBE?
Bajeti ya 2011/12 mlipa kodi mkubwa ilikuwa kampuni ya bia Tanzania TBL.

Walevi wakiaacha kunywa pombe, mark my words, serikali ita collapse, haitaweza kulipa mishahara ya wafanyakazi.
 
Mkuu maandiko husema UOMBACHO NDICHO HUPEWA.. Pamoja tusiache kuomba Mungu atajibu tu, japo si leo...
"Naendelea kuomba Mungu na natamani kuiona hiyo siku ambayo kila mtanzania atakuwa ameokoka"
Mungu wa Mbinguni yafanye maneno haya kuwa kweli,kwa ajili ya roho za watanzania zisiangamie"
Kuhusu kuwa serikali watafanyaje,kwa sababu nao ni watanzania na watakuwa wameokoka Mungu
atawapa akili ya namna gani wapate pesa za kuendesha nchi.
 
Mimi naona utengwe siku ya kuwaheshimu wanywa pombe na wavuta sigara kwani wanamchango mkubwa katika kuendesha Serikali ya CCM
 
Kwa hiyo ni rahisi kuiangusha hii serikali ikiwa sisi walevi tutagoma kunywa pombe angalau kwa mwezi mmoja!!!!. Na kwa kuwa kunywa au kutokunywa sio kosa la jinai, kakuna wa kutushitaki kwa kutokunywa pombe ikiwa serikali ya JK itaanguka kwa hilo.
 
Ikiwa kwa Miaka mingi, Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, inategemea makusanyo ya Ushuru wa kodi za Sigara na Vinywaji (hasa Pombe) Katika kuendesha Shughuli zake (Kama tulivyoshuhudia ktk Bajeti zote)
Je! Endapo Watumiaji wa Sigara na Pombe wakikacha na KUOKOKA..
ITAKUAJE KWENYE BAJETI HIZI?
Serikali inatuaminisha kua WAVUTA SIGARA na WANYWAJI POMBE ndio wanaoliwezesha Ukuaji wa pato laTaifa hili ?
possibility kubwa itakuwa kuongeza Kasi kubwa zaid ya kuomba misaada nje na kukubali kuwakaribisha wawekezaji(WEZI WAKUBWA) Nchini kuchukuwa maradufu ya wanacho tupa upo hapo!!
 
Back
Top Bottom