sio rahisi, mmetumwa kumtia aibu Lowasa
Kwi kwi kwi! Inasikitisha lakini ndiyo ukweli. Akipiga mahesabu pesa alizotumia kuhonga watu tena maskini roho itakuwa inamuuma sana Lowassa kaamua arudishe pesa zake.
Utaratibu kama huu ni wa CHADEMA tokea 2005.... Sasa hapo cha ajabu ni nini?....
Kama Macain au Obama walichangiwa sembuse Lowassa....
Tayari nimetuma laki 5.
sema big NOOOO to fisadi lowasa
Mlikuwa mnajiendeshaje mpaka sasa? Helicopter ya Lowassa ilikodiwa kwa pesa zipi? Usitufanye watoto humu.
Mlijigamba humu kuwa mna pesa nyingi kwa sababu ya Lowassa. Na mpaka mkasema ni sababu moja ya kumtosa Dr Slaa. Sasa kama ni fukara kama Slaa, hajawaletea wabunge 50 kutoka CCM na bado anataka mmpeni pesa za kampeni yake kulikuwa na sababu gani ye kuhama? Mpaka September iishe mtakuwa mmepigika sana. Wengi wa waumini wenu vipofu walikuwa wanashabikia utajiri hebu pitia comments zao. Wao walijua bilionea Lowassa atakuwa mkombozi wao kwa kugawa pesa bure. Sasa angalia watakavyoanza kuwageuka kwa hasira wakizinduka!
sema big NOOOO to fisadi lowasa
Mlikuwa mnajiendeshaje mpaka sasa? Helicopter ya Lowassa ilikodiwa kwa pesa zipi? Usitufanye watoto humu.
Mlijigamba humu kuwa mna pesa nyingi kwa sababu ya Lowassa. Na mpaka mkasema ni sababu moja ya kumtosa Dr Slaa. Sasa kama ni fukara kama Slaa, hajawaletea wabunge 50 kutoka CCM na bado anataka mmpeni pesa za kampeni yake kulikuwa na sababu gani ye kuhama? Mpaka September iishe mtakuwa mmepigika sana. Wengi wa waumini wenu vipofu walikuwa wanashabikia utajiri hebu pitia comments zao. Wao walijua bilionea Lowassa atakuwa mkombozi wao kwa kugawa pesa bure. Sasa angalia watakavyoanza kuwageuka kwa hasira wakizinduka!
Kwi kwi kwi! Inasikitisha lakini ndiyo ukweli. Akipiga mahesabu pesa alizotumia kuhonga watu tena maskini roho itakuwa inamuuma sana Lowassa kaamua arudishe pesa zake.
Kwi kwi kwi! Inasikitisha lakini ndiyo ukweli. Akipiga mahesabu pesa alizotumia kuhonga watu tena maskini roho itakuwa inamuuma sana Lowassa kaamua arudishe pesa zake.
Wakuu salama...
Tafadhali sana tuungane kuchangia mabadiliko kwa njia hii hapa chini....
Mytake:.. Wakati wa ukombozi ni sasa

Yaani nyie wiki ya kwanza tu, miguu juu.