Changia UKAWA/Lowassa kwa Tigo Pesa, M Pesa na Airtel Money kwa njia hii

Kwi kwi kwi! Inasikitisha lakini ndiyo ukweli. Akipiga mahesabu pesa alizotumia kuhonga watu tena maskini roho itakuwa inamuuma sana Lowassa kaamua arudishe pesa zake.

Anakazi mwaka huu sijui inakuaje baada ya oct na hatima ya chadema baada ya hapo maana yule mvi sio mwanachama ni kama kupe kamdanda mbwa aliekua anakatiza
 
Lowasa anakerwa na umasikini wake na wa Familia yake tu, hakerwi na umasikini wa wa Tanzania wanyonge (Makamba, 2015). Sasa mnataka kutuchangisha mnatulipisha kilazima maigizo yenu mnayotuonyesha kwani tuliwalazimisha mtuonyeshe maigizoooo??
 
Kuna wana ukawa nimewasaidia kuwafikishia hizi taarifa wameona ni uzushi inamaana hatua hii hata wengine hawaamini kama mmefilisika
 
Utaratibu kama huu ni wa CHADEMA tokea 2005.... Sasa hapo cha ajabu ni nini?....

Kama Macain au Obama walichangiwa sembuse Lowassa....

Mlikuwa mnajiendeshaje mpaka sasa? Helicopter ya Lowassa ilikodiwa kwa pesa zipi? Usitufanye watoto humu.
Mlijigamba humu kuwa mna pesa nyingi kwa sababu ya Lowassa. Na mpaka mkasema ni sababu moja ya kumtosa Dr Slaa. Sasa kama ni fukara kama Slaa, hajawaletea wabunge 50 kutoka CCM na bado anataka mmpeni pesa za kampeni yake kulikuwa na sababu gani ye kuhama? Mpaka September iishe mtakuwa mmepigika sana. Wengi wa waumini wenu vipofu walikuwa wanashabikia utajiri hebu pitia comments zao. Wao walijua bilionea Lowassa atakuwa mkombozi wao kwa kugawa pesa bure. Sasa angalia watakavyoanza kuwageuka kwa hasira wakizinduka!
 
Hahahaha, ulaghai ushaanza ,Lowasa anachukia sana umaskini ,anataka kuzifuta nyumba zote za udongo na nyasi Tanzania ,anataka msiwaze kabisa ishu ndogondogo kama karo nk ,anataka kila mmoja wenu awe ghorofa ,anataka kufanya shule bure hadi chuo kikuu .
Hahaha ,kwa kutembeza bakuli ,kama ameshindwa kufanya bajeti nzuri ya kampeni na kuwarudia nyie nyumbu maskini ,bajeti ya taifa itakuaje? faida kutokana na gesi inaanza kuonekana baada ya miaka 12 ,hiyo elimu ana finance na pesa za gesi za wapi? au Mbowe kamuhakikishia kuwa watabadili katiba(kama alivyofanya CDM) ili aendelee kutawala milele?
Nyumbu mmegeuka mtaji ,kwa kuvamia kauli mbiu.ya mabadiliko bila kutafakari ,eti oohh hata jiwe litalipigia ,haya huyo Mbowe anakupelekeni kwenye shimo la Mbulukenge na nyie mtaingia tuu.
k
Kalaghabao ,wajinga waliwao.
 
Mlikuwa mnajiendeshaje mpaka sasa? Helicopter ya Lowassa ilikodiwa kwa pesa zipi? Usitufanye watoto humu.
Mlijigamba humu kuwa mna pesa nyingi kwa sababu ya Lowassa. Na mpaka mkasema ni sababu moja ya kumtosa Dr Slaa. Sasa kama ni fukara kama Slaa, hajawaletea wabunge 50 kutoka CCM na bado anataka mmpeni pesa za kampeni yake kulikuwa na sababu gani ye kuhama? Mpaka September iishe mtakuwa mmepigika sana. Wengi wa waumini wenu vipofu walikuwa wanashabikia utajiri hebu pitia comments zao. Wao walijua bilionea Lowassa atakuwa mkombozi wao kwa kugawa pesa bure. Sasa angalia watakavyoanza kuwageuka kwa hasira wakizinduka!

Kumbe ilikuuma lowasa kuhama ccm?mbona haukusema mwanzo?imeshakula upande wako
 
Mlikuwa mnajiendeshaje mpaka sasa? Helicopter ya Lowassa ilikodiwa kwa pesa zipi? Usitufanye watoto humu.
Mlijigamba humu kuwa mna pesa nyingi kwa sababu ya Lowassa. Na mpaka mkasema ni sababu moja ya kumtosa Dr Slaa. Sasa kama ni fukara kama Slaa, hajawaletea wabunge 50 kutoka CCM na bado anataka mmpeni pesa za kampeni yake kulikuwa na sababu gani ye kuhama? Mpaka September iishe mtakuwa mmepigika sana. Wengi wa waumini wenu vipofu walikuwa wanashabikia utajiri hebu pitia comments zao. Wao walijua bilionea Lowassa atakuwa mkombozi wao kwa kugawa pesa bure. Sasa angalia watakavyoanza kuwageuka kwa hasira wakizinduka!

Mwaka huu ma ccm mnapelekeshwa puuutaaaaaa
 
Kwi kwi kwi! Inasikitisha lakini ndiyo ukweli. Akipiga mahesabu pesa alizotumia kuhonga watu tena maskini roho itakuwa inamuuma sana Lowassa kaamua arudishe pesa zake.

Lowasa ndiye rais wako
 
Kwi kwi kwi! Inasikitisha lakini ndiyo ukweli. Akipiga mahesabu pesa alizotumia kuhonga watu tena maskini roho itakuwa inamuuma sana Lowassa kaamua arudishe pesa zake.

Mimi nimeshachangia tayari
 
Wakuu salama...

Tafadhali sana tuungane kuchangia mabadiliko kwa njia hii hapa chini....

Mytake:.. Wakati wa ukombozi ni sasa

this time sichangii, nitamchangia mgombea udiwani huko kwetu. sababu ni moja tu. tumekuwa tukichanga lkn mapato na matumiz hayawekwi hadharani
 
Back
Top Bottom