Changia Mawazo

ossy

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
872
143
Wakuu nimeombwa ushauri na rafiki yangu,naomba mawazo yenu pia...
Ni hivi: Mshikaji alikuwa na uhusiano na msichana wake wa kwanza uliodumu miaka minne hivi,katikati ya mwaka 2010 akakutana na msichana mwingine ambaye alianza naye mahusiano bila msichana wa kwanza kujua,baadaye msichana wa kwanza akajua basi akaamua kumwacha mshikaji but kwa shingo upande coz alikuwa bado anampenda na jamaa kwa vile alikuwa amenogewa na penzi jipya akaona poa tu,akawa ameachana na wa kwanza japokuwa mawasiliano ya kawaida yalikuwepo, Sasa hivi juzi ananiambia huyu she wake wa pili amemchosha coz she anawivu mbaya hataki hata atoke home,hata akipokea simu she anataka kujua ni simu ya nani,kifupi she anakaba paka penati,ukonvi wa kila siku usioisha na visirani,yaani haipiti wiki wanakwaluzana na issue kama hizi kwa she wake wa zamani hivi vitu havijawahi tokea,akisema hivi she anasema hivi,sasa jamaa anataka kumwaga na kurudi kwa yule wazamani coz bado wanawasiliana na she bado anamfili jamaa,wakuu toeni maushauri na mwenye swali ntajibu kwa niaba ya mshikaji coz namfahamu sana.Nawakilisha.....
 
She. . . She. . .She. . . She. . .
Nashangaa mshkaji wako hujamwita He. . He. . . He
Au yeye hana jinsia?

nimekusoma Lizzy,hiyo ni kifupisho tu ili mada isiwe ndefu,haya mwaga maushauri basii mdada!
 
mwambie jamaa aache tamaa ya kutaka kote kwa pupa

mkuu c kwamba anataka kotekote,ni kwamba anajuta kwa jinsi huyu msichana wa tabia yake ilivyo,imagine she anajibizana naye as if kamuoa,je wakioana c balaa kaka!
 
mwambie atafute mwingine akimchosha ambwage atafute mpya mpaka watimie dozen

Angel hiyo c noma mkuu! mshikaji c kicheche,its just she wa sasa anamchosha,kuna siku nilikuwa home kwake cmu ya mshikaji ikaita,acha huyo she aikimbilie.....nilichoka!
 
hapo asome alama za nyakati kuna wadada wengine anatunza kinyongo anajifanya anakupenda kumbe analake moyoni na hapo jamaa akijiachia tu kwa wa pili na kwenda kwa wa kwanza ujue kabisa atalipiza kisasi jinsi ulivyomanyia ili muende sawa..

happy new year!
 
Kabisa! Halafu nakufinya na masikio manake leo umekuwa kichwa ngumu kweli!! We ngoja nije utanitambua....... na ivi nina hasira na wewe???
We kakondoo hizo hasira kakupa nani?Mrudishie haraka sana.

@Mto mada, kua na heshima wewe.Ungekua unamwaaddress dada yako nae ungekua inamwita she?
 
hapo asome alama za nyakati kuna wadada wengine anatunza kinyongo anajifanya anakupenda kumbe analake moyoni na hapo jamaa akijiachia tu kwa wa pili na kwenda kwa wa kwanza ujue kabisa atalipiza kisasi jinsi ulivyomanyia ili muende sawa..

happy new year!
nimekusoma mkuu!
 
Unaweza kuta huyo dada wa mwanzo naye keshawahiwa na wajanja!!!!
Huyo jamaa yako ana tamaa sana, mwambie aendelee na huyo aliye naye sasa maana "mchagua nazi hupata koroma".
 
@Ossy.....mwambie rafiki yako atulie kwanza afanye uamuzi yakinifu, asije akarudi kwa mdada wa kwanza akitegemea mambo mazuri lakini kumbe akakuta mambo yamebadilika. Ni bora arudishe ukaribu kwanza ili asikilizie hali ikoje kabla hajaamua kurudi!!!
 
We kakondoo hizo hasira kakupa nani?Mrudishie haraka sana.

@Mto mada, kua na heshima wewe.Ungekua unamwaaddress dada yako nae ungekua inamwita she?

mkuu Lizzy,nshasema nafupisha mada mkuu! okey ntamwita mdada....mwaga ushauri basii....
 
@Ossy.....mwambie rafiki yako atulie kwanza afanye uamuzi yakinifu, asije akarudi kwa mdada wa kwanza akitegemea mambo mazuri lakini kumbe akakuta mambo yamebadilika. Ni bora arudishe ukaribu kwanza ili asikilizie hali ikoje kabla hajaamua kurudi!!!

poa mkuu! nimekusoma....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom