Elections 2010 Changia Maendeleo ya Tanzania - Changia Chadema

Ebwana Shalom nashukuru sana kwa kunijulisha maana nilikuwa natafuta sana namba ya kuchangia chadema kwa muda mrefu. Mbona hamtangazi kwenye vyombo vingine vya habari kama TV na Redio kama wanavyofanya CCM? Watu kibao wanahamasa ya kuchangia ila hawaijui hiyo namba na hawajahamasishwa....
 
Changia Chadema kwa tuma neno "chadema" kwenda 15710 (Zain na Voda tu)
Naona kuna tatizo mkubwa. Msg mbili nilizotuma kwenda hiyo namba kwa kutumia voda zimeishia kukatwa tsh 59 kila moja. Can have a check up?
 
Chadema (au chama chochote cha upinzani) kinapambana na mawazo mgando na viongozi wanaobebana waliopo ndani ya serikali ya sasa hivi. ni kwa kuiondoa CCM pekee ndio mabadiliko ya kweli na ya manufaa yanaweza kupatikana.
 
Ebwana Shalom nashukuru sana kwa kunijulisha maana nilikuwa natafuta sana namba ya kuchangia chadema kwa muda mrefu. Mbona hamtangazi kwenye vyombo vingine vya habari kama TV na Redio kama wanavyofanya CCM? Watu kibao wanahamasa ya kuchangia ila hawaijui hiyo namba na hawajahamasishwa....

Asante Ramosi, Mimi sio kiongozi CDM ila ni mpenda mageuzi. Nitajaribu kuwafikishia ujumbe na mawazo ya njisi ya kufanya watu wengi wachangie. naona Chadema wamepagawishwa na huyu mdudu ccj na lakini nitawaomba watoe msimamo kuhusu huyu mdudu
 
Naona kuna tatizo mkubwa. Msg mbili nilizotuma kwenda hiyo namba kwa kutumia voda zimeishia kukatwa tsh 59 kila moja. Can have a check up?

:painkiller: Ni kweli hiyo namba ina dosari kidogo nawashauri muifuatilie. Pia mtoe namba ambazo watu wanaweza kuchangia kiasi tofauti 500,1000....10000 bila kumlazimu mtu kutuma sms nyingi. Nawasilisha
 
To be honest hii kitu ni biashara nzuri sana.. Bulicanas haiwezi gusa hapa wala Aishi Hotel. Mwisho wa siku watu watafanya wafanyavyo lakini watakao tajirika na Upinzani (T) Ltd. ni viongozi wa juu na CCM ambao wanahakikisha hawa mbuzi bado wanabaki too weak to gain real power..so sisimizi anakula kidogo na Nyangumi nae anakula portion kubwa... And the wheels on the... go round and round.. round and round...

You must be kidding!Yatakushinda kama yalivyokushinda sasa..
 
Kuna tatizo kwa sasa katika mitandao hii..Huduma imesimama ndio tunafuatilia kujua kulikoni..isije ikawa CCM washapitisha mkono wao...
 
Mbowe na Komu watatajirika zaidi mwaka huu. Uzuri wa CHADEMA, hata Mbowe akiiba wala haitwi fisadi maana anakuwa anachukua profit kutoka lichama la baba mkwe.
Wewe una matatizo binafsi, mbona sisi chadema wenyewe hatuna shaka nao, usije kuwa unatumiwa na cc.....
 
CHANGIA MAENDELEO YA MUSOMA - CHANGIA NYERERE CAMPAIGN 2010

Wapendwa, mwaweza kuwasiliana na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CHADEMA Jimbo la Musoma Mjini, ndugu Vincent Josephat Nyerere kwa simu namba 0763-177737 au 0713-275804 ili kusaidia maendeleo ya Jimbo la Musoma Mjini kuanza na ushindi wa Ubunge na kuongoza Manispaa.

Kwa kusaidia gharama, tunaomba msaada wako wa hali na mali.

Unaweza kuchangia kupitia:

M-PESA 0763 177737
ZAP 0787 658125

NMB a/c # 3032502120
CRDB a/c # 12062207300

CHADEMA TUNAWEZA!
 
Changia chadema
account no 2266600140, jina la account ni chadema, bank ni nmb, tumia tawi lolote, hata kama uko nje ya nchi, nenda kwenye tawi lolote la rabobank ,

au tumia namba ya simu 15710, tuma neno chadema,

asante, mchango wako ni muhimu sana.

People power
 
Wapi wazee wa kuchakachua, chakachua na hii AC ya NMB.
Kazi ipo,maana hawashindwi.
 
Changia chadema
account no 2266600140, jina la account ni chadema, bank ni nmb, tumia tawi lolote, hata kama uko nje ya nchi, nenda kwenye tawi lolote la rabobank ,

au tumia namba ya simu 15710, tuma neno chadema,

asante, mchango wako ni muhimu sana.

People power

Naomba utuhakikishie hii number kwasababu tunataka kutoa michango yetu lakini hatuna access ya uhakika zaidi.kwahiyo tafdhali tupe uhakika Paygod
 
Changia chadema

au tumia namba ya simu 15710, tuma neno chadema,

Hiyo ya simu nimetuma lakini hakuna hata feedback. Kama ni number yenu chadema basi hakikisheni kuwa yule anayetuma message angalau anataarifiwa kwamba mmeipata. hata shukrani inatosha kumtia moyo mchangiaji ili achangie siku ingine
 
hii namba ni ya ukakika kaka, kwa mfano ukitumia nmb mobile itakuambia je unataka kutuma kwenda kwa CHADEMA,?
 
Back
Top Bottom